0km si unanunulia toyota bongoAutocom Japan wana nambari za simu, umejaribu kuwacheck?
Tayari kaishapigwa sindano ya ganzToyota lazma watampasua 😅😅😅
Ila hii gari nayo matusi, hasa mtoto wa kike akiwa kwa mbele pale anaendesha...Toyota lazma watampasua 😅😅😅
Hio gari haiwezi kuwa ya kike mzee😅😅😅 ni unyama unyamani sema 165M lazma ikutoke kwa 0KM!Ila hii gari nayo matusi, hasa mtoto wa kike akiwa kwa mbele pale anaendesha...
N:B Sijasema gari ya kike
Jamaa anapenda vizuri, acha atoe mpunga vizuriHio gari haiwezi kuwa ya kike mzee😅😅😅 ni unyama unyamani sema 165M lazma ikutoke kwa 0KM!
Gari ya kike ni Murano imekaa kama kobe na sura mbaya
Alivyouliza kibabe naamini pale Equity pana 250M inamuwashaJamaa anapenda vizuri, acha atoe mpunga vizuri
Ukiwaza hayo hutofanya la maaana mkuusipati picha, unanunua huyo mdudu kwa 150ml, unakuja nayo bongo, bajaj inakukwangua unashuka kwa hasira unamwangalia dogo mwenyewe maskini hana hela na bajaj wala sio yake, ya tajiri au day waka kwa mwingine anayepeleka malengo kwa tajiri, kifupi hana uwezo wowote wa kununua hata taa tu au hata kupaka rangi.....
wewe kwa hapa bongo, nunua gari yeyote tu alimradi inatembea kukufikisha unapoenda basi. mengine ugonjwa wa moyo.
Yupo ofisni anati order sasa toyota wamletea na pen ya gold mkononi 😀😀Alivyouliza kibabe naamini pale Equity pana 250M inamuwasha
Hahahahah hapo uhakika! Wacha sie tupambane na vyuma vya mtumbaniYupo ofisni anati order sasa toyota wamletea na pen ya gold mkononi 😀😀
Mchizi yupo njema hata zilitomukia, kuna raha yake kutumia gari mpya imeshuka na contena kama jux au mond bin laden.. 😀😀😀😀Hahahahah hapo uhakika! Wacha sie tupambane na vyuma vya mtumbani
Heheheh raha inaanzia pale TPA 😅😅😅Mchizi yupo njema hata zilitomukia, kuna raha yake kutumia gari mpya imeshuka na contena kama jux au mond bin laden.. 😀😀😀😀
karibu kwenye ulimwengu wa hybrid kuanzia km 30k andaa kuanzia 80mWakuu kwema mwenye uzoefu wa hii gari ya Harrier ya mwaka huu mpya iliyotembea 0Km Ni Bei gan kwenye kampuni ya Autocom Japan.
View attachment 1863237n
karibu kwenye ulimwengu wa hybrid kuanzia km 30k andaa kuanzia 80mView attachment 1863414
zinakula mafuta vizuri mno sababu ni hybrid,means hata haria model ya kati ile ya 2300cc inakula mafuta mengi kuliko hyoHii wese inakulaje mzee baba!