Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Jamani, mliofanakiwa kujiajir haswa kwenye maswala ya biashara mliwezaje? Mpaka mkafika hatua ya biashara kusimama, na kujiendesha yenyewe, na kufanya maendelea binasfi kupitia hiyo biashara...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
HABARI ZA WAKATI HUU WAKUU Naimani muwazima na bukheri wa afya. Nataka kuuliza ni wapi nitapata vinywaji vya jumla(pombe hususani). Haswa vinywaji kama local beers na hivi vikali. Kuachana na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wataalam wa madini hili ni jiwe gani
1 Reactions
0 Replies
789 Views
Tuna experience katika majitaka ya majumbani,viwandani n.k
0 Reactions
2 Replies
820 Views
KWANINI SAFARI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NEW YORK NI YA MUHIMU KIUCHUMI. BILA shaka aliposema “Ili ufike haraka nenda peke yako, ili ufike mbali nenda na wenzako,” alimaanisha. Rais Samia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wapendwa, Mimi ni mwanamke ambaye natafuta mshirika katika biashara ya mgahawa wa chakula na vinywaji, anaweza kuwa wa kike au kiume ila awe anajitambua na kuelewa maisha yanvyokwenda. Pia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Part of the reason that CFDs are illegal in the U.S. is that they are an over-the-counter (OTC) product, which means that they don't pass through regulated exchanges. Using leverage also allows...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Natamani kuwa agent wa hizo kampuni, mwenye uelewa wakuuu
0 Reactions
17 Replies
11K Views
Wakuu, Jana nimekwenda kwa wakala kutoa hela ya mboga kidogo kama 400k ila nashangaa hadi leo hii sijapata SMS kwenye simu yangu kutoka NMB mkononi na nimejiunga toka kitambo na kila transaction...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Nina hitaji kujua Benki yenye mazingira Bora kwa ajili biashara hasa ndogo nahitaji kufungua account ya Biashara. Nazikwepa hizi Benki kubwa kama CRDB, NMB na NBC, maana hawa wana wateja wengi...
1 Reactions
29 Replies
12K Views
Hello Fellas "Life is a School.I have been driving for some times now,I have hard accidents and incidents but I never learnt one thing.All accidents and incidents are results of careless driving...
1 Reactions
0 Replies
748 Views
UTANGULIZI Matikiti maji ni tunda kubwa la mviringo ambalo linastawi vizuri katika maeneo ambayo ardhi yake aitwamishi maji kwa mda mrefu. Matikiti maji ni mojawapo ya jamii aina ya matunda au...
2 Reactions
1 Replies
10K Views
Wakuu kwema? Naona watu wengi Sana tumejaa mijini nakufanyia biashara palipo na senta, lakin Kuna mazingira ya kishua tumeyatenga mfano Kuna sehem nimepita naona hakuna huduma ya duka karibu na...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
So you have seen the advertises on the internet or maybe been to a seminar on how forex will make you rich overnight.The truth is to tell you the reality that 90% of retail FX clients do not make...
10 Reactions
18 Replies
6K Views
Wakuu nahitaji mteja wa mbao.naahidi kuwa Bei itakuwa rafiki na inayoendana na Hali kubwa zaidi mteja ana Uhuru wa kununua mbao kwa mjibu wa vipimo anavyotaka yeye.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Najua kuna ambao watashangaa ninachotaka kusema hapa. Namzungumzia mtu anayeitwa Rugemalira wa Escrow. Huyu ni mmoja kati ya matajiri wa nchi hii ambao historia ya utajiri wao iko wazi. Ni mtu...
10 Reactions
17 Replies
3K Views
Vyumba vinapatikana maeneo ya mwenge univerity wanafunzi nicheki kwa namba 0735407588
0 Reactions
1 Replies
490 Views
Ishu ipo ivi katika pita pita zangu na kuchungulia ile app ya Ali express, ambayo ninayo kwenye simu hua naangalia kuna bidhaa gani mpya ambayo naweza nunua kwa matumuzi yangu binafsi? Bana...
9 Reactions
44 Replies
8K Views
Nimefungua sehem ya kuuza mayai ya kisasa na kienyeji, kwa bei ya leja leja na jumla.. Sasa, naomba ushahuri, bidhaa gani nyingine niweke kwenye , atleast ambayo itafanya ofisi iwe busy kidogo,
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza naomba anaejua sehemu wanayobadilishia pesa ya republic of Dominica anisaidie maana nimejaribu kutembea kwenye maduka ya kubadilishia pesa (bureau de change)...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom