Biashara ipi unaweza kufanya mitaa ya kishua?

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
May 30, 2021
333
671
Wakuu kwema? Naona watu wengi Sana tumejaa mijini nakufanyia biashara palipo na senta, lakin Kuna mazingira ya kishua tumeyatenga mfano Kuna sehem nimepita naona hakuna huduma ya duka karibu na Kuna frem ya biashara mpya nikavutiwa kufanyia pale biadhara. Mm binafsi nimewaza kufanya biashara ya mahitaji ya nyumban, hivyo naomba na wewe mdau unipe mawazo ni biashara gani unaweza ifanya mazingira ya kishua?
 
Wengi hununua vitu vya kutumia mwezi mzima,na hununua kwenye ma supermarket. uza matunda nadhani hapo utauza bila shaka
 
20210919_114702.jpg
fungua genge lakishua
 
Back
Top Bottom