Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

Habari zenu wadau.. mtaji wangu ni milioni 3-4 naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku.. Nina miaka 30, nipo Dar.. Jinsia Wa kiume..

Natanguliza shukrani, karibuni kwa ushauri/maoni..
Tunatazama kwa umakini hii thread wenye matusi wasitutoe kwenye mstari tunatazma madini tu tuondoke nayo.
 
Hatari sana, nimeshtuka, kuna thread za kujibu majibu ya kijinga, ila kuna thread sio za kujibu ujinga.

Unajiuliza mtu ameomba ushauri kwa roho safi kabisa, kwa nia njema, kama huna ushauri mzuri si bora ukae kimya. Maana thread kama hii sio aliouliza peke yake atapata faida ya mawazo, hata wasomaji tu wanaopita kimya kimya watapata faida na mawazo.
 
Habari zenu wadau.. mtaji wangu ni milioni 3-4 naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku.. Nina miaka 30, nipo Dar.. Jinsia Wa kiume..

Natanguliza shukrani, karibuni kwa ushauri/maoni..
Mtaji?
 
Hatari sana, nimeshtuka, kuna thread za kujibu majibu ya kijinga, ila kuna thread sio za kujibu ujinga.

Unajiuliza mtu ameomba ushauri kwa roho safi kabisa, kwa nia njema, kama huna ushauri mzuri si bora ukae kimya. Maana thread kama hii sio aliouliza peke yake atapata faida ya mawazo, hata wasomaji tu wanaopita kimya kimya watapata faida na mawazo.
Tena ni ushauri ambao sio tu ungemsaidia mtoa mada peke yake....ungemsaidia yeyote anayehitaji kujikwamua ana mtaji ila Bado hajui afanye Nini.

Ndio shida ya wavulana wachache wasiojitambua kujiunga humu
 
Back
Top Bottom