Swali: Biashara ya betting. Mtaji na faida?

gizalucky

Member
Aug 5, 2011
44
10
Biashara ya betting imekuwa kwa kasi sana miaka ya hivi karibuni. Napenda kuuliza kwa anayejua inaingiza shs ngapi kwa mwezi. Na kawaida mtaji wake ni bei gani?
 
Hio ni biashara ya wazungu we hutaiweza mpaka uwe ma mtaji wa kutosha
 
Back
Top Bottom