JACKLINE CELESTINE KITALE
Member
- Jul 29, 2021
- 81
- 158
Hiki ndo kumekuwa kisingizio kikuu sana kwa kila kijana. Ukimuuliza kwanini uko sehemu fulani au kwanini haufanyi chochote ili kuhakikisha ndoto zako zinatimia, utajibiwa ," sina mtaji, sina pesa, nikipata pesa ya kujitosheleza nitaanza " Sasa kwa taarifa yako pesa haijawahi kutosha na ndio maana hata matajiri wote duniani mfano wakina Bill Gates hawajawahi kutosheka, eti akae nyumbani Sasa kwakuwa pesa inanitosha.
Na hii Sababu ya kukosa mtaji Mimi ninaikataa, naikataa kwasababu wengi wanaolalamika hamna mitaji ndio ambao hawajafanya chochote kuhakikisha wanapata pesa. Akiomba na kunyimwa na baba,mama na ndugu anaona ameshindwa. Lakini muulize kuna fursa nyingi zinzotolewa kuhakikisha vijana kupata pesa, je Ni wangapi tunazi chngamkia?
Mfano ni hili shindano la jamii forum, washindi watajinyakulia pesa taslimu na zawadi nyinginezo Kama simu. Sasa jiulize ni wangapi tumechukua uamuzi wa kuchangamkia fursa hii na nyinginezo kama hizi, hapo utapata jibu.
Naashindano kama haya yako mengi, kama shindano la (DSE) Dar es salaam stock exchange ambalo linafanyika kila mwaka.
Ukiachana na mashindano, kuna pesa zinatolewa na serikali kwa vijana. Tunachotakiwa tu ni kutengeza kikundi. Hapo bado unakuta kijana analalamika hamna mitaji.
Vijana embu tuamke, tujikomboe sisi, familia zetu, na nchi yetu kwa ujumla.