Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Tupate muelekeo wa uchumi toka kwa Govana, Wizara na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni matumaini yangu mpo salama wote. Baada ya kusota mtaani kwa miaka miwili tokea kumaliza degree yangu nimefanikiwa kujikusanya na kupata kapesa kidogo. Baada ya kuwaza sana nimeona ninunue...
11 Reactions
49 Replies
10K Views
Tanzania iko tayari kuzuia bidhaa za Kenya, Uganda nk, hivyo hivyo Kenya yuko tayari kuzuia bidhaa za Tanzania lakini nchi hizo haziko tayari kuzuia bidhaa za China. Yaani bora Mchina kuliko...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Jana nilikwenda kwa wakala wa NBC aliyepo Kilosa mjini (ni mmoja tu) na niligomewa kutoa kiwango nilichohitajika huku wakala akilalamika kuwa NBC hawana ushirikiano na anatarajia kujivua uwakala...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamii nina mtaji wa m2 nataka kufanya ununuzi wa nguruwe toka Moro to Dar kuchinja kwa ajiri ya biashara vp ushauri, hapo italipa?
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Habarini wadau. Nataka kufungua Toto/Baby shop maana nimeona hapa mtaani kwangu hakuna biashara ya namna hii. Duka litakuwa na vitu vya mahitaji ya msingi ya kila siku ya mtoto kuanzia siku moja...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Nina biashara nguo za spesho rejareja je!? nihalali kulipia leseni sh, 103,000/= nipo Wilaya ya Mbogwe, Geita
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana jf kwa anayefahamu kiasi gani kitanikosti nikisafirisha mzigo wa kilogram 50 na mzigo wa kilogram 100 kupitia kampuni za hapa bongo zitakosti Bei gani? Tafadhali naomba nijue kwa anaye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Zenu Waungwana. Naomba jinsi ya kufahamishwa nawezaje kuweka pesa kwenye bank account ya Tz nikiwa overseas kwa lengo la kuendeleza biashara ya forex asanteni
5 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wakuu: Im real Team 666: Nimeona bidhaa nyingi kwenye mtandao wa Alibaba ziko cheep kulinganisha na huku kwetu Tanzania mfano wa biashara ya vifaa vya simu, nguo, viatu,nk... Albaba...
2 Reactions
32 Replies
8K Views
Kwa wafanyabiashara wote, je unaweza fanya bihashara bila kukopesha? Bihashara yoyote ile iwe kubwa au ndogo. Je, ni zipi faida za kukopesha na zipi hasara za kukopesha kwenye bihashara? Welcome
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu poleni na hongereni kwa majukumu. Nisiwachoshe nimechoka na hekaheka za boda boda nina bajet ya mil 5 naweza kupata gari used iliyo vizuri? Mimi ni bonge kidogo sitaki Passo wala Vits...
6 Reactions
52 Replies
9K Views
Yaan nimefanya tathmini Anakusambazia maji ya jumla anakuachia faida 200 katoon. Sasa najiulza hawa wene maduka ya maji huwa wanapata nini? Kama hailipi wanatumia mbinu gani kupata faida.
3 Reactions
21 Replies
12K Views
Naelewa Kariakoo ni sehemu yenye ushindani katika umiliki wa fremu na pia gharama kubwa ya kulipia rent. Nataka nijikite katika biashara ya underwear (chupi, boxer, sox..etc). Ningependa kujua ni...
5 Reactions
99 Replies
55K Views
Ndg wanaboard, naombeni ushauri wenu maana ninawazo la biashara. Nipo Geita, mtaji nilio nao ni 25M, nimepata machine ya kukoboa 25t/h, ya Kisasa. Ambayo wanauza 8700usd. Inakuwa na: 1...
2 Reactions
12 Replies
12K Views
Wakuu habarini za muda huu! Nina mtaji wa milioni 5 nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza senene Dodoma, nini mapekeo kuhusu hili wazo?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuwa mbunifu ni kuvunja sheria kanuni na taratibu bila kuwa na hatia yani ni kufanya tofauti na mazoea Kama utafanana na wengine nani atahofia kukupoteza Lazima uwe tofauti na wengine ili...
2 Reactions
2 Replies
708 Views
Kwa muda wa zaidi ya miaka 35, Kenya imekuwa ikiongoza kwa Afrika Mashariki katika maendeleo na uandikishaji wa miradi mipya. Ni katika miaka ya 2016-2017 Ethiopia ikaingia katika kusuguana na...
5 Reactions
43 Replies
9K Views
STATIONERY YA NDANI YA GHETO/HOSTEL Nguvu ya hii biashara 1.tationery nyingi hufugwa mida ya saa moja jioni hivyo hakunaga mbadala, nguvu yako hapa ni kwamba wewe muda wowote ambao upo chumbani...
5 Reactions
8 Replies
4K Views
Nineajiriwa kwenye shirika moja la serikali ambalo tunahudumia wafanya biashara kadha na kadha, nipp lwenye kitengo cha accounts kwa hio wengi wao najua hali zao kwenye faida, madeni, sales, n.k...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom