Nalipia 103,000/= lesen rejareja ni sawa?

-Ni Leseni ya biashara inayotolewa na halmashauri/manispaa/jiji?
-Na mtaji unafika ngapi?
 
ni sawa biashara nyingi za frem bila kujali mtaji huwa zinacheza kwene 100k.. iyo inayozidi huwa inategemea na eneo.
 
i mean kodi boss... kwa leseni sijajua maana nachokijua biashara za kawaida izi zinalipiwa kodi ile leseni bei yake huwa ndogo tu...
 
leseni inatolewa na halmashauri ,, mtaji wangu milion 5
Kwenye majiji leseni nyingi zinacheza kwenye 40,000-80,000 kwa biashara za kawaida,sasa iyo 100,000+ naTRA je ni ngapi!?.
Utajikuta unaifanyia kazi serikali
 
Wewe Kama ni leseni umepigwa, eneo la gharama kubwa kwa geita ni geita mjini na katoro, ila Kama ni Kodi ya tin number bas hiyo hutokana na makadirio hiyo Sina uzoefu nayo.

NB leseni ni kibari Cha kufanyia biadhara ktk halmashauri/manispaa husika, tin number ndo hutumika kulipia Kodi.
 
Kwamtaji wangu huo nalipia lesen 103,000/= TRA kwa mwaka nalipia 100,000/= ambayo nalipa kwa awam mbili 50/50
 
Wewe Kama ni leseni umepigwa, eneo la gharama kubwa kwa geita ni geita mjini na katoro, ila Kama ni Kodi ya tin number bas hiyo hutokana na makadirio hiyo Sina uzoefu nayo.

NB leseni ni kibari Cha kufanyia biadhara ktk halmashauri/manispaa husika, tin number ndo hutumika kulipia Kodi.
Hapa ndio nazidi kuchanganywa kwakweli , Tin namba yenyewe ninayo nilienda ofisi za tra nikakadiliwa niwe nalipia laki 1 kwa mwaka sasa kwenye hii reseni ndio sina elimu nayo
 
Wewe Kama ni leseni umepigwa, eneo la gharama kubwa kwa geita ni geita mjini na katoro, ila Kama ni Kodi ya tin number bas hiyo hutokana na makadirio hiyo Sina uzoefu nayo.

NB leseni ni kibari Cha kufanyia biadhara ktk halmashauri/manispaa husika, tin number ndo hutumika kulipia Kodi.
Zinanichanganya mkoa mmoja ona[emoji116]
Screenshot_20211125-185117.jpg

View attachment 2023345View attachment 2023346
 
leseni inatolewa na halmashauri ,, mtaji wangu milion 5
Ulikosea ulivooenda kuongea na Afisa wa hizo leseni ungempa chake angekupunguzia kwenye leseni.Kwa hiyo ungekuwa unalipa kiasi unachoona kinaendana na kipato.Tueidanganyane kujifanya wazalendo rushwa inasaidia sana kipindi hiki ambacho mtetezi ametangulia mbele ya haki.
 
Mtetezi?

Hahah huyu huyu aliyekua anasema hadharani traffic wapewe rushwa.
 
Back
Top Bottom