Rasmi: Tanzania yaipiku Kenya kwa gharama za miradi baada ya miaka 35

GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
228
250
Kwa muda wa zaidi ya miaka 35, Kenya imekuwa ikiongoza kwa Afrika Mashariki katika maendeleo na uandikishaji wa miradi mipya.

Ni katika miaka ya 2016-2017 Ethiopia ikaingia katika kusuguana na Kenya katika gharama za miradi iliyoandikishwa na serikali zao.

Lakini kwa mara ya kwanza kutoka katika ripoti ya kampuni ya kimataifa deloitte imeonyesha kwa mwaka 2019, Tanzania ama walikuwa wakiita the sleeping giant imepindua meza kwa kuweza kusajili miradi mikubwa 51 yenye gharama ya 61.3 billion usd sawa na Tzs Trilioni 150.hii ni sawa na asilimia 41% ya miradi inayoendelea katika nchi za Afrika Mashariki.

Nchi ya Kenya imekuwa ya pili kwa kusajili miradi 51 yenye jumla ya thamani ya dola billioni 30 billion USD ama Tzs Trilioni sabini sawa na asilimia 24% ya miradi inayoendelea Afrika Mashariki.

Tanzania imekuwa na miradi inayoendelea kama Standard Gauge, bwawa la umeme, mchuchuma ama lng plant, ilihali Kenya imeendelea katika miradi ya Standard Gauge, treni, barabara.

Ripoti hii imezihusisha nchi zilizoko Afrika Mashariki ambazo ni Burundi, Djibouti, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Shelisheli, Somalia, Tanzania na Uganda.

https://cceonlinenews.com/2020/02/0...s-up-with-kenya-in-infrastructure-projects-2/
 

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,549
2,000
Hii report inaendelea ku trend kule linked in. Kilichonifurahisha kwenye hii report ni ile project ya LNG kule lindi ya $30 bln. Inasemekana hii project ikiisha itaongeza 7% GDP.

Tatizo majadiliano ya hii project yamesimama kisa tu mikataba yote ya gesi ipo kwa mwanasheria mkuu wa serikali tangu mwanzoni wa mwaka jana mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
3,990
2,000
Samahani, gas asili ya Ntwara wana mpango wa kuifanya Liquified Natural Gas kwa ajili ya mitungi yetu ya majumbani?
Hii report inaendelea ku trend kule linked in. Kilichonifurahisha kwenye hii report ni ile project ya LNG kule lindi ya $30 bln. Inasemekana hii project ikiisha itaongeza 7% GDP. Tatizo majadiliano ya hii project yamesimama kisa tu mikataba yote ya gesi ipo kwa mwanasheria mkuu wa serikali tangu mwanzoni wa mwaka jana mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,549
2,000
Je, ' impact ' yake kwa Uchumi wa Kila Mtanzania hasa katika Kipindi cha Hali ngumu ya Kimaisha tunachokipitia itakuwaje Mkuu?
Impact huwezi kuona ukiwa hapa Dar. Nenda kwenye project ya Stiglers gorge ukaone watu walivofungua mabiashara. Watu wanauza mpaka 8 usiku. Wacha watu walioajiriwa kwenye hii miradi.

Multipliers effect ni kubwa sana. Ukiwa umekaa mjini tu hapa hizi opportunities huwezi ziona.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,511
2,000
Watu wanauza mpaka 8 usiku. Wacha watu walioajiriwa kwenye hii miradi. Multipliers effect ni kubwa sana. Ukiwa umekaa mjini tu hapa hizi opportunities huwezi ziona.
Biashara zilizokuwa zinafanyika Samunge enzi za "Kikombe cha babu" unaweza kuzilinganisha na hizo? Wewe umewahi kufika kwenye machimbo mapya uone biashara zinavofunguliwa?

Hizo unazoziita "Multiplier effect" ni lazima ziwe za kudumu. Wakati UDOM inajengwa tuliambiwa kwamba kutakuwa na "Multiplier effect" kama kwa Daraja la Nyerere pale Kigamboni, leo hii wewe unaziona hizo "multiplier effect kama tulivyoambiwa?

Hiyo miradi yote ni mikopo, ni lazima tuione kama itachukua miaka mingapi kurudisha fedha zinazowekezwa ili ianze kuleta faida. Kikwete alilalamika kulipa deni alilolikuta tangu enzi za Mwalimu. Unajua ni kwa nini?
 

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
2,169
2,000
Hii report inaendelea ku trend kule linked in. Kilichonifurahisha kwenye hii report ni ile project ya LNG kule lindi ya $30 bln. Inasemekana hii project ikiisha itaongeza 7% GDP. Tatizo majadiliano ya hii project yamesimama kisa tu mikataba yote ya gesi ipo kwa mwanasheria mkuu wa serikali tangu mwanzoni wa mwaka jana mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,

Hii project walishaipeleka Msumbiji lbd kama tutaanza upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kikiwo

JF-Expert Member
Nov 30, 2017
1,642
2,000
Hii report inaendelea ku trend kule linked in. Kilichonifurahisha kwenye hii report ni ile project ya LNG kule lindi ya $30 bln. Inasemekana hii project ikiisha itaongeza 7% GDP. Tatizo majadiliano ya hii project yamesimama kisa tu mikataba yote ya gesi ipo kwa mwanasheria mkuu wa serikali tangu mwanzoni wa mwaka jana mpaka leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi waharakishe kutupa ajira sisi
 

french

JF-Expert Member
Aug 2, 2017
2,549
2,000
GENTAMYCINE, Mkuu usiongee kwa kukejeli. Nimekupa insghts tu. Unajua kuwa TZ ina deficit ya umeme wa 280MW? Kule watazalisha 1500mw. Inamaana hujui impact ya umeme kwenye uchumi?

Hujui umeme ukishuka bei production cost pia itashuka and finally goods and services zitashuka bei hence harmonized standard of living. Siamini kama haya yote huyajui

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Allen Kilewella

Verified Member
Sep 30, 2011
13,511
2,000
Kilichonifurahisha kwenye hii report ni ile project ya LNG kule lindi ya $30 bln. Inasemekana hii project ikiisha itaongeza 7% GDP.
"Economic Projections" si lazima ziwe vile zilivyokuwa "Projected". Hiyo 7% ya GDP ni juu ya hii iliyopo sasa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom