Fursa ya kibiashara: Diapers za watoto kutoka China, biashara nzuri yenye faida kubwa

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,421
Habari wakuu:

Im real Team 666:

Nimeona bidhaa nyingi kwenye mtandao wa Alibaba ziko cheep kulinganisha na huku kwetu Tanzania mfano wa biashara ya vifaa vya simu, nguo, viatu,nk...

Albaba, Amazon, eBay nk... Ndio kwenye machimbo ya wafanya biashara wa k,koo huko wana-port Via Alibaba sana sana kwasababu hii site ndio inauza vitu vyake for wholesale.

Pampers za watoto bila ya Shipping fee cost wanauza Usd 0.10 dollars ukii-comvert kwa pesa ya kibongo sawa na shilling 239.90. for one pieces.


Simple
Minimum order pieces 100,000 sawa na usd 10,000



Ukifanikiwa kuleta Hadi bongo hizi Pc 100,000 ukiuza elf 10000 kila pieces unakalibia 1 bilion
Screenshot_20210917-135053.jpg


Kumbuka sijaweka transaction fee....
 
Habari wakuu:

Im real Team 666:

Nimeona bidhaa nyingi kwenye mtandao wa Alibaba ziko cheep kulinganisha na huku kwetu Tanzania mfano wa biashara ya vifaa vya simu, nguo, viatu,nk...

Albaba, Amazon, eBay nk... Ndio kwenye machimbo yako huko wana-port Via Alibaba sana sana kwasababu hii site ndio inauza vitu vyake for wholesale.

Pampers za watoto bila ya Shipping fee cost wanauza Usd 0.10 dollars ukii-comvert kwa pesa ya kibongo sawa na shilling 239.90. for one pieces.


Simple
Minimum order pieces 100,000 sawa na usd 10,000



Ukifanikiwa kuleta Hadi bongo hizi Pc 100,000 ukiuza elf 10000 kila pieces unakalibia 1 bilion View attachment 1941901

Kumbuka sijaweka transaction fee....
Biashara yoyote ukiwa na mtaji mkubwa tu na connection ukakamata soko lazima utapata super profit. Watu wengi hawafanikiwi sana kwenye biashara hasa kukosa mtaji mkubwa na connections hapo namaanisha kama TRA TAA TPA au wizara husika.
 
Anhaa sawa, moja sh 200. Aisee ni biashara nzuri sana na yenye faida kubwa, changamoto apo inaweza kua kwenye kupata soko la uhakika
200 bila mambo ya transfer fee.

Hadi hapo unaweza ukapigia hesabu utagundua Kama ukiifanya hii biashara baada ya miaka kadhaa unaweza kuandikwa na Fobes (Joke)
 
Tushazoea za softcare zenye picha ya Zari..Walisikika wakisema wamama wa mtaa wa geza ulole
Ni brand tu ile yenye jina la mtu mwenye ushawishi kwenye jamii lkn ubora upo pale pale.
 
Hii imekaa kimotivesheni, amezungumzia faida bila hesabu za kuendesha biashara na factor zingine muhimu.
 
Kwa iyo....,za kuambiwa changanya na zako
Sasa kumbe? Ukiambiwa kitu unafanya mwenyewe research ndo unajipa Go ahead bro

But nimejaribu kutoa information ya hizi biashara za wholesale wale jamaa wa k,Koo wanapo chukua vitu almost 80% wana-import Via China


Akina Vunja bei ndo walipotokea huku
 
Back
Top Bottom