Natafuta Mkopo kwa dhamana ya nyumba

Natafuta Mkopo kwa dhamana ya nyumba

Winnerstz

Member
Joined
Nov 25, 2023
Posts
34
Reaction score
34
Habari,

Naomba kufahamu kama kuna taasisi, kampuni, au mtu binafsi anayetoa mikopo kwa kutumia nyumba kama dhamana (collateral) bila hitaji la kuwa na leseni ya biashara au ofisi.

Nimejaribu kufuatilia kupitia benki mbalimbali lakini imekuwa ngumu kupata huduma hii kutokana na masharti mengi.

Ninachohitaji:

  • Mkopo kwa dhamana ya nyumba
  • Bila ulazima wa kuwa na biashara iliyosajiliwa
  • Masharti rafiki na yanayotekelezeka
Kama unatoa huduma hii au unafahamu sehemu inayoweza kusaidia, tafadhali wasiliana nami inbox au acha maelezo hapa chini.

Ahsante sana 🙏
 
Kuna wapigaji wengi kila siku wanatajwa kwenye nyimbo za bendi wametajirika kwa mfumo huu kuwa makini ndugu.

Unapewa mkopo,siku ya kurudisha jamaa haonekani au hapatikani, akija kuonekana anakuja na majembe auction mart kukuhamisha kwenye nyumba yake.

All in all nakutakia kila lililo jema
 
Back
Top Bottom