Naomba kufahamishwa kuhusu biashara ya vifuu

babu kavu

Senior Member
Jul 4, 2022
117
123
Wadau habari zenu,

Kuna hii Biashara ya kununua na kuuza vifuu ambayo ningependa kuifahamu kuanzia

- Gharama za kununua Kama kwa kilo hununuliwa kiasi gani na kuuza kiasi gani

- Changamoto zake (japo hakuna Biashara inayokosa changamoto ila NI Bora kujua japo kwa uchache)

- Kama Kuna ubora wa vifuu ambavyo wanunuzi huangalia

- Masoko ya kuuzia baada ya kukusanya

AHSANTENI, NATAKA NIICHANGAMKIE HII FURSA MAANA NINAPOISHI UPATIKANAJI WA VIFUU NI RAHISI SANA ILA BIASHARA YAKE SIIFAHAMU KABISA

NI PESA AMBAYO NAIONA INAELEA ELEA
 
Tafiti zako zinaonyesha watumiaji wengi mama ntilie au Nani?. Hiz biashara Kwa sas zimekuw ngumu Kwa teknolojia hii ya sasa na majiko ya gesi kushuka bei. MKAA tu unasumbua. Tandale, Kwa mnyama I na mbagala pafikirie
 
Nilisikia vifuu vinahitajika nje na Kuna watu walikuwa wananunua kwa wingi kutoka kwa wakusanyaji wadogo wadogo. HUKU ninapoishi (karibu na soko la tandika) Nazi zipo za kutosha na kina mama wananunua sana nazi nikisema nitangaze nanunua vifuu nadhani nitakuwa nimejiongezea kipato Kama nikifahamu wapi napeleka baada ya kukusanya. Acha wenye kujua hili watupe mwanga.
 
Nasubir na mm
 
Back
Top Bottom