Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kama kweli unataka kufanikiwa anza kwa kuwekeza kwenye maarifa. Watanzania wengi akipata hela anawaza kufungua biashara. utasikia nina mil 100, mil 5 au nina 500k nifanye baishara gani? “Biggest...
50 Reactions
105 Replies
11K Views
Habari za muda huu ndugu wanafamilia wa Jamiiforums, baada ya kuzunguka sana kutafuta kijiwe cha kupeleka bajaji kupiga kazi na kukutana na garama kubwa sana za viingilio, nimekuja kwenu wadau wa...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Mwenye kufahamu ratiba ya midana mkoa Dar es Salaam naomba anisaidie. Si lazima ujue ratiba ya minada yote ndio ushare, hata huo mmoja unaoufahamu ukichangia itasaidia sana. Asante
3 Reactions
35 Replies
7K Views
Habari wapendwa. Hivi kwanini serikali isipunguze idadi ya watu kwenye utoaji wa mikopo ya wakinamama na vijana kutoka watu 5 hadi wa tatu?
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Habarini Wana JF. Mimi ni kijan wa miaka 22 ni mwanachuo nimekuja na wazo la kuanzia biashara ya devices ndogo ndogo za electronics kam scientific calculators,smart watch na airpods.... nilijarb...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Karibuni Sana Fay Fashion Tanzania yenye Duka lake Jengo la NHC House Mtaa Samora, Dar es Salaam, Kwa bidhaa Bora kabisa za Ngozi halisi zilizotengenezwa Tanzania.
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa eneo la uswahilini katikati ya mji ambapo jamii inayoishi wengi ni waswahili, wamama, wanafunzi, watoto wengi sana, wafanyabiashara na wajasiriamali, jamii ya watu wanaopenda mambo ya miziki...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Graduates wengi tunachanganywa na vyeti vyetu na zile picha za majoho kwamba tukimaliza tunategemea kwenda kufanya kazki katika shining new office, tupige picha na kupost kuonyesha colleagues...
20 Reactions
75 Replies
7K Views
Habari wanajamvi, Mungu akipenda hivi karibuni natarajia kufungua mgahawa hapa Dar, kuna maeneo kadhaa nayafatilia kama nitapata mojawapo nitakuja tena kuwatangazia. Mgahawa wangu utaitwa Mihogo...
8 Reactions
41 Replies
3K Views
Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write...
6 Reactions
3 Replies
944 Views
Naomba kujua kwa yeyote anaejua soko la asali mbichi (pure) Tanzania?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Zama za leo kama wewe ni mfuasi wa kuifurahisha nafasi yako kupitia kwenye kumbi za starehi ni wazi uwezi kukosa kinywaji cha Redbull. Hichi ni kinywaji cha nguvu (energy drink) ambacho eneo...
2 Reactions
1 Replies
576 Views
Freelancing jobs: Hizi ni kazi za mtandaoni ambazo mtu unafanya ukiwa katika ofisi yako ama nyumbani kwako zinaitwa freelancing jobs, ajira hizi unakuwa hujaajiriwa na mtu yeyote bali umejiajiri...
6 Reactions
18 Replies
5K Views
Niliwahi kuandika juu ya wakala wa NMB aliyekuwa ana double transactions bila ridhaa ya mteja. Alipiga wateja wanne kama 20m hivi. NMB hawakuchukua hatua dhidi ya wakala huyo. Leo ninaandika tena...
15 Reactions
94 Replies
10K Views
Je, ulishawahi kuwa na wazo la kufanya biashara au kazi lakini hauna mtaji? Pengine unahisi fedha ndio changamoto? Usijali, basi upo eneo salama. Unaweza kujifunza mengi kupitia: Upendokitundu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jf Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya Nipo hapa kwaajili ya msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukiachana na hasara nazo zipata ndugu yetu mfuga kuku kwenye biashara yake kutokana na uzembe wa kuto fatilia mwenendo wa biashara yake bado Tatizo la hesabu kuto ku balance ni Tatizo kwa wafanya...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari ya jioni wakuu, Nianze kwa kusema kwa upande wangu nipo vizuri. Nipo napata coffee [emoji477]️ya moto muda huu. Kuna baridi hapa Arusha kwahiyo hii coffee inanifanya nijisikie murua kabisa...
5 Reactions
15 Replies
49K Views
Habari wakuu. Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia...
0 Reactions
0 Replies
508 Views
Back
Top Bottom