Leather Bags Made in Tanzania (Ngozi halisi)

Super_Grego

Member
Jan 31, 2012
27
18
Karibuni Sana Fay Fashion Tanzania yenye Duka lake Jengo la NHC House Mtaa Samora, Dar es Salaam, Kwa bidhaa Bora kabisa za Ngozi halisi zilizotengenezwa Tanzania. View attachment 2500120View attachment 2500121View attachment 2500122View attachment 2500124View attachment 2500123View attachment 2500125
IMG_20230117_012755_183.jpg
IMG_20230117_012755_124.jpg
IMG_20230117_012754_053.jpg
 

Attachments

  • _TYS8230.JPG
    2.4 MB · Views: 9
Ngoja nikusaidie kidogo hapa....
1. Weka mawasiliano yenu.
2. Weka bei za kila bidhaa ikiwezekana.
3. Punguza hasira Jf ni uwanja wa fujo, tycoons, fogos, jobless, loneliness, desperate and ect
Hapo nimekuelewa mkuu, mwanzo nilikua sijakuelewa.

fayfashiontz.kyte.site au Application yetu iliopo Google play store Kwa Jina la Fay Fashion Tanzania, ina bei, mawasiliano na bidhaa zetu ktk categories vizuri kurahisisha kuperuzi.

Pia Instagram na Facebook.
 
Hapo nimekuelewa mkuu, mwanzo nilikua sijakuelewa.

fayfashiontz.kyte.site au Application yetu iliopo Google play store Kwa Jina la Fay Fashion Tanzania, ina bei, mawasiliano na bidhaa zetu ktk categories vizuri kurahisisha kuperuzi.

Pia Instagram na Facebook.
Ungeweka tu bei binafsi nimevutiwa na bidhaa
Sasa mpaka ni login fb tena
 
hampo serious nyie , yani mtu atoke huko Mbinga Ruvuma mpaka Dar posta kuja kuulizia bei ya mkoba ?
Nadhani hapa JF watu wanaghairi kuweka bei kwa sababu kuna watu kazi yao ni kukatisha watu tamaa tu. Super_Grego hongeni kwa ujasiriamali mnaoufanya. Naombea mfanikiwe mpate soko hata nje ya nchi. Tanzania tuna ngozi nyingi lakini tunakimbilia kuziuza nje badala ya kutengeneza bidhaa zetu. Nikiona mtanzania anajitahidi namna hii huwa naona furaha sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom