Jamani watanzania tuamke Dunia inaenda mbio sana. Kama utang'ang'ana na biashara moja hakika kilio kwako kiuchumi kitakusonga hivyo jifunze kujivunia pesa mtandaoni kama wenzako wanavyofanya...
Leo ningependa kuwapa zawadi vijana wenzangu watizame hii fursa watakuja kunishukuru badaye.
Tatizo la vijana tulio wengi ni kuharakia maisha tunapenda kupata leo leo, jambo ambalo linapelekea...
Wanabodi, umefia kwenu!
Shughuli pevu kwenye uwekezaji ni namna ya kuwa na fedha za kuanzia biashara...
Watu wana mipango mingi sana, mawazo mengi sana lakini hawana cash ya kuanza biashara au...
Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla.
Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila...
Asilimia kubwa ya watu wengi tuna ndoto za kuwa mjasiriamali
asilimia kubwa ya watu wengi wana ndoto ya kujiajili na kumiliki biashara zao wao wenyewe. Kila mwenye ndoto ya kuwa mjasiriamali hasa...
Habari zenu wana jamii forums
I think this is right place ambapo naweza kupata ushauri yakinifu from great thinkers
Mimi ni mdada naombeni ushauri wenu wapambanaji wenzangu ambao mmeshapiga hatua...
Habari zenu wakuu !
Leo nakuja kwenu nikihitaji ufafanuzi wa masuala kadhaa yanayohusisha kodi ya biashara.
Ni kiasi cha miaka minne sasa tangu niingie ktk ulingo wa kutafuta maisha kupitia...
Habari za muda wanajukwaa.
Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.
Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni...
Nimekuwa nikifuatlia mijadala mingi hapa chini kuhusu changamoto mbalimbali zinazolikabili Taifa, wengi wanakwepesha kwepesha sana maneno na kuzunguka mbuyu labda kwa kuona aibu na kumwonea huruma...
Wakuu poleni kwa majukumu ...
Nilimaliza kidato cha Nne 2013 na kujiunga na kidato cha tano 2014 na kuhitimu 2016 baada ya kuhitimu nilitoka mkoani Kilimanjaro na kuingia katika jiji la Dar es...
Wakuu habari,
Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa?
Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza...
Hii biashara ya usafirishaji wa ndege ni ngumu sana ndio usishangae taifa kubwa kama USA kupitia serikali yake kutojiusisha na biashara hii.
Pesa tulizopoteza kununua madege kwa nchi changa kama...
Wanabodi,
Japo hili ni Jukwaa la Siasa, na hii ni story ya fursa za Kiuchumi, issues zozote za utilities, umeme, maji na mafuta, ni siasa, hivyo ikitokea sintofahamu yoyote kwenye issues za...
Hawa jamaa wanaotibu kwa madawa asili wanakula mkwanja mkubwa sana. Yani walivowashika watu au mtu yupo tayari kununua dawa ya asili iliyofungwa kijanja laki na nusu kuliko kununua duka la madawa...
Na Mwandishi Wetu.
KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited, ambao ni waanzilishi wa kinywaji cha Konyagi, leo inazindua aina mbili mpya za Konyagi ikiwa ni mwendelezo wa chapa hiyo zinazoitwa...
wakuu natamani nikimaliza form six hapo mwezi wa tano nitafute kitu cha kufanya ili niingize hela mpaka ntapoenda chuo....nisaidieni wakuu wangu kama kuna mahali naweza fit....i can do...
Nimeona nishee na nyie ujumbe huu
JINSI YA KUCHAGUA ENEO ZURI LA BIASHARA TANZANIA.
Jinsi ya kuchagua sehemu ya biashara kwa Tanzania ni muhimu sana kwasababu itachangia na kuongeza mafanikio ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba.
Ziara hiyo ya kushtukiza...
Maisha yana ups and down nimefungua duka kibanda nauza kila kinachokuja kichwani nauza kila kitu ambacho nimeulizwa na wateja wangu. Je ni sawa?
Nifanyeje ili nipate faida? duka langu lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.