Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kutokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia na maendeleo ya kidigitali imekuja mitandao ya kijamii ambayo imeambatana na mambo mengi ikiwemo mawasiliano, burudani, sehemu ya kutunza kumbukumbu...
0 Reactions
5 Replies
761 Views
Salam kwenu wakuu, Kuna jamaa yangu anataka kufungua photo studio. Frame tayari anayo kinachohitajika ni mashine ya kusafisha picha za passport, picha kubwa saizi kuanzia 4*6 na kuendelea...
0 Reactions
22 Replies
19K Views
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia 1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa...
18 Reactions
35 Replies
4K Views
Siku kadhaa zilizopita naibu waziri wa kilimo Anthony Mavunde katika mkutano na wahariri jijini Dodoma uliolenga kutekeleza ushiriki wa vijana katika kilimo cha biashara program itakayo ongeza...
10 Reactions
95 Replies
8K Views
Salaam, Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu...
26 Reactions
47 Replies
3K Views
Wasalaam, Ukifanya kauchunguzi kadogo kwa familia nyingi zenye uchumi imara (achana na accidental millionaires), utagundua kuwa ni mipira ya mbali iliyopigwa au kuchezwa na watangulizi wa familia...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Wadau nina ela za kigeni za Norway na Korea nimezunguka mabank mengi wanasema hawafanyi Exchange. Ni wapi naweza zibadili. Natanguliza shukrani
0 Reactions
9 Replies
893 Views
Habari za usiku ndugu? Natumai mu wazima wa afya. Nimekuwa nikiwaza namna nzuri ya kuwekeza pesa yangu niliyoipata hivi karibuni, 3m. Nikataka kuiweka katika fixed account lakini kila nikiwaza...
2 Reactions
8 Replies
722 Views
Nataka nihame kutoka Mbeya kwenda Dar es Salaam ila nina chombo cha moto (bajaji) nataka nihame nayo. Hivyo naombeni taratibu za kufuata ili niweze kuhama nayo na kuifanyia kazi nitakapo fika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Tokea kipindi cha nyerere serikali ilipenda kuwa mtu mkubwa wa kufanya biashara ila mwisho wa siku vimekufa na vengine kutoweka. Jambo ambalo bado tuna rudia bila kukoma ni ili *Shirika la...
1 Reactions
4 Replies
360 Views
Institutional investors (institutional) are organizations that pool money and invest with depositors' money. They may include: hedge funds, mutual funds, credit unions, banks, etc. • Q2 and Q3...
0 Reactions
1 Replies
896 Views
Mbona ndinga bei poa sana? Au upigaji?
4 Reactions
18 Replies
2K Views
UTANGULIZI Habari Mzazi/Mlezi wa Wanafunzi tajwa hapo juu. Kuelekea mtihani wa taifa wa Kidato cha pili na cha nne, Alpha learning platform inawaletea Programu (Kozi) Maalumu ya Wanafunzi wa...
1 Reactions
0 Replies
288 Views
Habari waungwana, Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina...
12 Reactions
18 Replies
2K Views
Huwa ninaikubali sana nchi ya Tanzania. Katika pilka pilka zangu za kudadisi taakwimu mbalimbali za kiuchumi ili kuilewa Tanzania zaidi, nilikutana na statistic ya kushangaza sana na ninaomba...
2 Reactions
9 Replies
895 Views
Habari za wakati jukwaa, Naomba msaada kwa wenye uelewa jinsi ya kufanya deposit kwenye account ya perfect money.
0 Reactions
1 Replies
999 Views
Nina asali. Nahitaji kufahamu wapi kuliko na soko zuri nchini kwetu. Soko laweza kuwa ndani au nje ya nchi. Asali ipo Manyoni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za majukumu wadau, Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom