wamilazo1
New Member
- Oct 31, 2021
- 3
- 7
Asilimia kubwa ya watu wengi tuna ndoto za kuwa mjasiriamali
asilimia kubwa ya watu wengi wana ndoto ya kujiajili na kumiliki biashara zao wao wenyewe. Kila mwenye ndoto ya kuwa mjasiriamali hasa katika biashara ana malengo au wazo la kuanza biashara flani ila katika hili wachache hutimiza ndoto zao za kufanya biashara na walio wengi huishia kuwa matajiri wa ndoto na malengo.
Hii ni changamoto na hakuna mda wa kusubiri kulichukulia hatua na kuliondoa moja kwa moja katika ubongo wako.
Chukua hii
1. Acha tabia ya kuhairisha mambo
Baadhi ya watu ukiwauliza kwanini huanzi biashara angali mtaji unao
Utajibiwa "sijui nifanye biashara gani". Huyu kabla hajapata kiasi cha mtaji alikuwa anaomba kwa mungu angalau apate kiasi flani aanzishe biashara flani
Chakushangaza baada ya kupata mtaji. Kabadilika na kuona wazo lake la biashara sio sahihi kutokana na sababu alizojiwekea ndugu yangu anza sasa hakuna biashara isiolipa ila tu inatokana na mfumo utakaojiwekea kuifanya biashara yako, ukiwa na tabia kama hii ya kuharisha mambo utaishia kutafuta hera ya mtaji kila siku na malengo yasiokuwa na mwisho.
2. Acha tabia ya kusubiri
Kumbuka hapo ulipo ni matokeo ya jana. Na usipoweka mkakati wa leo basi kumbuka kesho hutafika kule unakotarajia utaishia kukaa hapohapo ulipokaa.
Acha tamaa ya kutaka kuruka ingari hata kutambaa huwezi Kiasi ulichokipata baada ya kuweka akiba ndio uwezo wako wa mwisho. Anza sasa kabla hakijapungua. Huwezi kuanza kuruka kama hujui kutambaa
Hakuna ujasiriamali kwa mtu anaetaka kufanya biashara kubwa kabla ya ndogo ingari kipato chake hakiruhusu kwa mda huo. Anza sasa
3. Epuka kuishi bila malengo
Kumbuka mafanikio ni mchakato na mkakati wa mda mrefu Kama kupato chako ni kidogo. Acha matumizi yasio ya lazima. Anza kuweka akiba sasa
Hakika hautofanana na yule anaesubiri kipato chake kiongezeke ndipo aanze kuweka akiba. Sawa na kusubiri embe chini ya mpapai.
Hakuna kuongezeka kipato bila ya wewe mwenyewe kuanza kujiongeza
Ukianza leo kuweka akiba unaingia mojamoja kwa moja katika njia ya mafanikio na ndoto Zetu.Anza safari sasa na kuweka malengo na mikakati maalumu.
Ahsante Mr Aliburu