Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Napenda sana andiko miradi miepesi kwa mtu wa chini hususani vijana walioko kati ya miaka 20 hadi 35. Wenye uelewa wa uwekezaji na wauaminifu tujaribu hili Tukipata vijana 100 wanachama, na kila...
9 Reactions
54 Replies
6K Views
Tazama naja upesi kumlipa kila mmoja sawa na matendo yake.
0 Reactions
3 Replies
338 Views
Ni Duka langu la Nguo. Sasa Wiki ilopita Niliingiza Mzigo Mpya, katika hali isiyo ya kawaida Mara nyingi Nikishaleta Mzigo Mpya nikiwapigia wateja wangu, huwa Ndani ya Siku mauzo ni karibu 150K...
13 Reactions
112 Replies
5K Views
Wakuu..naomba kujua freight forwarder wa kulete mizigo kutoka Uturuki mpaka Tanzania. Wawe waaminifu na gharama nafuu.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
SIRI ILIYOJIFICHA KWENYE MTANDAO WA EBAY NA JINSI YA KUTUMIA EBAY KUTENGENEZA PESA. Ebay? Ndiyo ni Ebay!!! Natumai umeshawahi kusikia au kukutana na kitu kinaitwa EBAY katika makala hii...
10 Reactions
68 Replies
15K Views
Usafiri wa mabasi kutoka Dsm kwenda Mwanza kumekua na mchuano mkali wa biashara kati ya kampuni mbili Allys star bus, Katarama express wana jamiiF huko kanda ya ziwa kunani?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pengine ulikuwa unasumbuka namna ya kufungua akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo nje ya nchi. Ila leo nmekuja na suluhisho. Hauhitaji kuwa na laini ya kenya au kitu kingine. Cha muhimu ni uwe na...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Msaada wana JF, hivi naweza kubadili dola yenye series 2013, mana nmesikia uwaga zinaexpire.
1 Reactions
29 Replies
1K Views
Leo naomba kupata maoni Juu ya biashara ya kununua na kuuza Vitu Used vya majumbani mfano Furnitures, Vyombo, TV, Vingamuzi, Fridges, vitanda, magodoro n.k... Kuna watu ambao wanahama mikoa...
2 Reactions
3 Replies
7K Views
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA imetangaza kuanzia leo tarehe 1/5/2023 kuanza zoezi la ufuatiliaji katika Mikoa yote wasafirishaji wa vifurushi/ vipeto kuhakikisha wanatoa risiti za EFD kwa wateja...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
SERIKALI IMETOA UFAFANUZI KUHUSU UNUNUZI WA TANGA CEMENT UNAOFANYWA NA TWIGA CEMENT Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu ununuzi wa hisa za Tanga Cement unaofanywa na Twiga Cement, kuwa umefuata...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kila mtu, kikundi au taasisi ni tamanio lake kuona ikikukua kufikia ubora au malengo waliyojiwekea. Namna bora ya kukua ni kutoa huduma au kuuza huduma huku ukiwafikia walengwa katika ubora ule...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kama mnavyofahamu matatizo ya umeme yanakwamisha sana shughuli hasa zinazohitaji computers, naomba kuuliza kwa wale wanaozifahamu backups za computer je ni bei gani zinapatikana
1 Reactions
8 Replies
765 Views
Kadili taasisi inavyokuwa ndivyo idadi ya wafadhili inavyoongezeka, kitaalamu tunaita "Increase of Donor Base". Katika hali hii, taasisi inapaswa kuwa na utaratibu wa kuboresha taarifa za...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika. Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea...
2 Reactions
8 Replies
805 Views
Nimekuwa na wazo sasa la kufanya biashara online. Naomba kwa wale wenye uzoefu wa biashara hii faida, changamoto na mbinu. Karibuni
0 Reactions
3 Replies
615 Views
MBUNGE NDAISABA ASHIRKI HAFLA YA MIAKA 10 YA CRDB KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI KUPITIA MAWAKALA Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro tarehe 08 Mei, 2023 alishiriki Hafla ya kuadhimisha...
0 Reactions
1 Replies
548 Views
Salamu Wakuu wa Jukwaa. Mimi ni moja ya wafanyakazi katika Taasisi wilaya Ya Ngorongoro Mkoani Arusha, mahala nilipo ajiriwa ni karibu sana na Kenya almost kilomita 20 kuingia nchi Jirani. Huku...
21 Reactions
43 Replies
11K Views
Wakuu wajasiliamali mambo ni vipi? Tukiendelea na hustles za kila siku leo nmekuja na hii.,, Nimebahatika kupata printer mpya kabisaa buree brand ni EPSON L850 ina uwezo wa kuprint coloured...
2 Reactions
26 Replies
11K Views
Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…