Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Kupata TIN NO siku mbili au moja, kupata leseni yaweza kukata mwezi unaenda na kurudi nauli 15000. Alafu kuna makadilio ya mapato sijui mnatumia vigezo gani kukadilia mapato sehemu ya vijijini...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa. kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki...
15 Reactions
43 Replies
6K Views
Nimefuatilia utangazaji wako kwenye kipindi chako cha PPR kwenye wiki ya ubunifu. Nimeuona umahiri wako. Kama kawaida nimefurahia utangazaji wako na mbwembwe zako. Hongera sana Bwana Paschal.
3 Reactions
3 Replies
520 Views
Karibuni kwa maandiko bora ya BUSINESS PLAN at a very negotiable price. Kindly inbox me for a serious client only. Jua kabisa hatutashindwana malipo na utendaji kazi ni wa kiwango kilichotukuka...
1 Reactions
1 Replies
909 Views
Ndugu zangu wanajamvi naomba kusaidiwa hatua za kufungua Zahanati itakayokuwa chini ya kampuni na namna ya kuandaa memorandum ya zahanati husika.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau, mimi ni kijana na ninae jishughulisha na utoaji wa huduma ya mikopo. Ofisi yangu ilianzishwa mwaka 2022 mwezi wa 3 na nimefanya usajili na kuendelea kutoa huduma ya mikopo midogo kwa...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari zenu wana jamvi, kama kichwa kinavyojieleza kiukweli natamani sana kufanya uwekezaji kupitia hisa lakini sifahamu wapi nitaanzia hasa kuyapata hayo makampuni na miongozo mbalimbali. Kama...
2 Reactions
4 Replies
697 Views
Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE. Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia. Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Jf nadhani hamshindwi jambo lolote ikiwemo pamoja maoni mbalimbali nataka kuanza biashara ya kuuza vyombo vya nyumbani mtaji wangu ni m3 sehemu ya kuuzia ninayo lakini naona ni bora nitafute kitu...
2 Reactions
174 Replies
86K Views
Kwahiyo, location imekuwa tatizo kuoata kwasababu sehemu nyingi watu wamejaa wenye kufanya tasnia hiyo ya stationery. Location ambazo nakusudia ni: Posta Sasa sijapata na naskia stationery...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk. Naomba kuelewa 1. Risks zake 2. Faida...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF, natumaini mko salama kabisa mnapambana na majukumu ya kila siku leo nmependa niongelee kwa ufupi kuhusu lead generation, amapo Kukusanya leads ni muhimu kwa mafanikio ya biashara...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, Kumekuwa na threads nyingi sana hapa JF kuhusu uwekezaji kwenye mashamba ya miti kwa ajili ya mbao. Naamini wako wengi waliovutiwa na uwekezaji huu wa muda mrefu ambao...
10 Reactions
144 Replies
32K Views
Habari za muda huu nduguz. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna hizi sigara mpya zimeingia mtaani zinaitwa BLACK DEVIL, hivi ofisi zao kwa hapa Dar, wanapatikana wap?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari JF Nina plan ya kuanzia kampuni ya ujenzi na nimekuja kwenu kuomba ushauri katika hili namna ya ku manage ofisi kama hii. Malengo yangu ni kuanzisha huduma ya Ujenzi wa nyumba. kupaka...
1 Reactions
12 Replies
6K Views
Enyi wafanya biashara wa secondhand | Used | Mtumba Nguo | Viatu | Mikoba/School bags nk. Ni wapi unanunua bidhaa zako kati ya Tanzania | Kenya | Uganda? Sababu zipi zinakushawishi kununua...
6 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu zangu nataka nifungue duka la vifaa vya umeme mbeya chunya, mwenye uzoefu na hii biashara anipe ABC Taa za ndani Flexible wire Switch socket Extension Taa za nje Etc
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Mimi ni kijana mpambanaji niliweza kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza peanut butter ila nilikumbwa na matatizo hivyo biashara ikasimama. Natafuta mtu aliye serious mkoa wa...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Habari wakuu. Kwa wenye windows 10 zisizofanyiwa activation yaani ina bango la windows not genuine. Mwarobain wenu ninao. Nitakuwekea genuine windows 10 product key kwa elf 25 tu. Nakufanyia...
0 Reactions
6 Replies
726 Views
Back
Top Bottom