Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi. Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mie ninafanya biashara za sendol za kimasai, ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya...
4 Reactions
18 Replies
903 Views
Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara. changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wapendwa, Natafuta chimbo la mafuta ya samaki au mafuta ya pamba anajua tafadhari nijuze.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau tufahamishane kuhusu gharama za mashine mpya ya KUKAMUA ALIZETI . Na wenye UZOEFU mtuambie CHANGAMOTO ZAKE
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania. Pia hill medical equipment tunauza vifaa...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Kama heading inavyosomeka, nahitaji kisimbuzi cha azam cha dishi, sio lazima kiwe complete na dishi kwani naweza nikaunga kwa kutumia dishi lolote nililo nalo. Zingatia: Kisiwe yale matolea ya...
0 Reactions
3 Replies
662 Views
Habarini za muda huu wana jukwaa, nauza iphone 7 plain kwa bei ambayo ipo in mint(excellent) conditions kabsa na ina sifa zifuatazo: Iphone 7 plain 32 Gb Ram 4 Battery 100% 280k price...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JamiiForums, mimi ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhili au wafadhili wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote. Anayefahamu...
1 Reactions
16 Replies
14K Views
Mimi nimuajiriwa wa Kijijini chenye idada ya Watu 2300 ,shughuli zao kubwa ni kilimo cha mahindi Kwa Sana maharage Na Mpunga kidogo ,zao la mkonge limetawala baadhi wazee wanapga pesa za mkonge...
3 Reactions
13 Replies
839 Views
1. Biashara ya kuuza vocha za simu; 2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu; 3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha; 4. Biashara ya Disco vumbi; 5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS); 6. Kusoma...
11 Reactions
31 Replies
3K Views
Tafadhali. Kama unayo Manual Transmission SUV tubadilishane na hii Crown Royal namba 'E' yako iwe alau namba D na hali nzuri. Mine ni full document very fine. Tuchekiane DM. Chuma iko vizuri mno.
3 Reactions
8 Replies
932 Views
Waziri wa Nishati Dk Medard Kalemani amewaondoa hofu Watanzania kuwa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya mto Rufiji wa Julius Nyerere haujawahi kusimama na hautasimama...
4 Reactions
19 Replies
5K Views
Kabla ya kuingia kwenye share, vitu gani lazima vizingatiwe???
1 Reactions
4 Replies
448 Views
Habari wakuu, nawakaribisha katika mfumo huu mpya wa kidigitali kwa ajili ya majaribio *149*46*14# Buree kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel Nunua Bidhaa kupitia Instagram, Facebook...
2 Reactions
3 Replies
916 Views
Habari zenu wana jamvi! Napenda kuwatangazia kuwa nauza mafuta ya alizeti kwenye ujazo wa lita 20 na lita 5. Mafuta haya yamechujwa vizuri kabisa na ni salama. Bei ya mafuta kwa ujazo wa lita 20...
1 Reactions
5 Replies
952 Views
Habari za leo wakuu: Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Srinagar (Jammu na Kashmir) Idara mbalimbali ziko bize kujiandaa kwa mkutano wa G20 utakaofanyika Srinagar, huku zingine nyingi zikiwa zimekamilisha maandalizi yao. Pia kuna programu ya ziara ya...
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Habari wapendwa, Poleni na majukumu Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom