Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa.
kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki...
Nimefuatilia utangazaji wako kwenye kipindi chako cha PPR kwenye wiki ya ubunifu.
Nimeuona umahiri wako. Kama kawaida nimefurahia utangazaji wako na mbwembwe zako.
Hongera sana Bwana Paschal.
Karibuni kwa maandiko bora ya BUSINESS PLAN at a very negotiable price. Kindly inbox me for a serious client only. Jua kabisa hatutashindwana malipo na utendaji kazi ni wa kiwango kilichotukuka...
Wadau, mimi ni kijana na ninae jishughulisha na utoaji wa huduma ya mikopo. Ofisi yangu ilianzishwa mwaka 2022 mwezi wa 3 na nimefanya usajili na kuendelea kutoa huduma ya mikopo midogo kwa...
Habari zenu wana jamvi, kama kichwa kinavyojieleza kiukweli natamani sana kufanya uwekezaji kupitia hisa lakini sifahamu wapi nitaanzia hasa kuyapata hayo makampuni na miongozo mbalimbali.
Kama...
Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE.
Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali...
Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia.
Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za...
Jf nadhani hamshindwi jambo lolote ikiwemo pamoja maoni mbalimbali nataka kuanza biashara ya kuuza vyombo vya nyumbani mtaji wangu ni m3 sehemu ya kuuzia ninayo lakini naona ni bora nitafute kitu...
Kwahiyo, location imekuwa tatizo kuoata kwasababu sehemu nyingi watu wamejaa wenye kufanya tasnia hiyo ya stationery.
Location ambazo nakusudia ni:
Posta
Sasa sijapata na naskia stationery...
Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk.
Naomba kuelewa
1. Risks zake
2. Faida...
Habari wana JF, natumaini mko salama kabisa mnapambana na majukumu ya kila siku
leo nmependa niongelee kwa ufupi kuhusu lead generation, amapo Kukusanya leads ni muhimu kwa mafanikio ya biashara...
Habari za jioni wakuu,
Kumekuwa na threads nyingi sana hapa JF kuhusu uwekezaji kwenye mashamba ya miti kwa ajili ya mbao.
Naamini wako wengi waliovutiwa na uwekezaji huu wa muda mrefu ambao...
Habari za muda huu nduguz. Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna hizi sigara mpya zimeingia mtaani zinaitwa BLACK DEVIL, hivi ofisi zao kwa hapa Dar, wanapatikana wap?
Habari JF
Nina plan ya kuanzia kampuni ya ujenzi na nimekuja kwenu kuomba ushauri katika hili namna ya ku manage ofisi kama hii.
Malengo yangu ni kuanzisha huduma ya
Ujenzi wa nyumba.
kupaka...
Enyi wafanya biashara wa secondhand | Used | Mtumba
Nguo | Viatu | Mikoba/School bags nk.
Ni wapi unanunua bidhaa zako kati ya Tanzania | Kenya | Uganda?
Sababu zipi zinakushawishi kununua...
Ndugu zangu nataka nifungue duka la vifaa vya umeme mbeya chunya, mwenye uzoefu na hii biashara anipe ABC
Taa za ndani
Flexible wire
Switch socket
Extension
Taa za nje
Etc
Habari wanajamvi,
Mimi ni kijana mpambanaji niliweza kufungua kiwanda kidogo cha kutengeneza peanut butter ila nilikumbwa na matatizo hivyo biashara ikasimama.
Natafuta mtu aliye serious mkoa wa...
Habari wakuu.
Kwa wenye windows 10 zisizofanyiwa activation yaani ina bango la windows not genuine. Mwarobain wenu ninao.
Nitakuwekea genuine windows 10 product key kwa elf 25 tu. Nakufanyia...
Napenda sana andiko miradi miepesi kwa mtu wa chini hususani vijana walioko kati ya miaka 20 hadi 35. Wenye uelewa wa uwekezaji na wauaminifu tujaribu hili
Tukipata vijana 100 wanachama, na kila...