Hatua za kufuata kufungua Zahanati

Gwamba

Member
Mar 14, 2021
6
4
Ndugu zangu wanajamvi naomba kusaidiwa hatua za kufungua Zahanati itakayokuwa chini ya kampuni na namna ya kuandaa memorandum ya zahanati husika.
 
Inakubidi upate leseni na kukaguliwa na DMO na RMO mimi sina enough insights about that. Acha waje watu watoe ushauri.

Lakini ingia kwenye thread moja humu JF kuna jamaa alikuwa ana mtaji wa milioni 35 anataka afungue biashara alicommentiwa kuhusu zahanati.
 
Inakubidi upate leseni na kukaguliwa na DMO na RMO mimi sina enough insights about that. Acha waje watu watoe ushauri. Lakini ingia kwenye thread moja humu jf kuna jamaa alikuwa ana mtaji wa milioni 35 anataka afungue biashara alicommentiwa kuhusu zahanati.
Asante mkuu naendelea kupokea ushauri
 
Ndugu zangu wanajamvi naomba kusaidiwa hatua za kufungua Zahanati itakayokuwa chini ya kampuni na namna ya kuandaa memorandum ya zahanati husika.
Mkuu ulifanikiwa kufungua zahanati au bado hujapata insights?
 
Back
Top Bottom