Nakufanyia windows 10 activation kwa Tsh. 25000 tu

Elly official

JF-Expert Member
Sep 16, 2018
727
976
Habari wakuu.

Kwa wenye windows 10 zisizofanyiwa activation yaani ina bango la windows not genuine. Mwarobain wenu ninao.

Nitakuwekea genuine windows 10 product key kwa elf 25 tu. Nakufanyia popote pale ulipo hata nje ya nchi kwa gharama nafuu kabisa.

Pia nakufanyia activation ya office 2016 na 2019 kwa gharama ya elf 20 tu kazi hii naifanya popote ulipo ili mradi tu machine yako iwe na internet na uwe na application inaitwa anydesk.

Kama hauna hii program download hapa

Ukishakuwa nayo basi nipigie kwa namba 0782183441. Tufanye kazi. Hata kama una mashine zaidi ya moja nitakufanyia zikiwa hapo ulipo.
 
Kubishana na wrwe mkuu ni kupoteza nguvu coz wewe na mwenzako hakuna mnachokijua. Kaulize bei ya product key the njoo ubishane.
 
Hii nakumbuka tulipigwa Sana miaka ya nyuma. Wakati computer ndio zinaingia ingia windows installation ilikua 50,000. Daah
 
Habari wakuu.

Kwa wenye windows 10 zisizofanyiwa activation yaani ina bango la windows not genuine. Mwarobain wenu ninao.

Nitakuwekea genuine windows 10 product key kwa elf 25 tu. Nakufanyia popote pale ulipo hata nje ya nchi kwa gharama nafuu kabisa.

Pia nakufanyia activation ya office 2016 na 2019 kwa gharama ya elf 20 tu kazi hii naifanya popote ulipo ili mradi tu machine yako iwe na internet na uwe na application inaitwa anydesk.

Kama hauna hii program download hapa

Ukishakuwa nayo basi nipigie kwa namba 0782183441. Tufanye kazi. Hata kama una mashine zaidi ya moja nitakufanyia zikiwa hapo ulipo.

cmd
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom