chriss salez
New Member
- Sep 10, 2019
- 4
- 9
Wadau, mimi ni kijana na ninae jishughulisha na utoaji wa huduma ya mikopo. Ofisi yangu ilianzishwa mwaka 2022 mwezi wa 3 na nimefanya usajili na kuendelea kutoa huduma ya mikopo midogo kwa wajasiriamali wadogo. Kiasi cha mikopo huwa ni kuanzia elfu 50 mpaka laki 5, inategemea na uwezo wa urejeshaji wa mteja na thamani ya dhamana zake. Biashara ni nzuri, ingawa ina changamoto nyingi sana. Hata hivyo, kutokana na uzoefu na umakini, tunazitatua changamoto hizo.
Changamoto kubwa tuliyonayo ni idadi kubwa ya wateja ambao inafanya mtaji uwe mdogo. Nimekuja kwenu wadau kuona namna gani naweza kupata mtu mwenye uwezo mkubwa wa kuwekeza pesa ili tufanye naye biashara. Kwa sasa, ofisi ipo Sumabawanga mjini, lakini tunalenga kwenda mbali zaidi. Namba yangu ya simu ni 0676211111 na pia nipo kwenye WhatsApp. Tunaweza kujadili na kushirikishana business plan yetu.
Karibu!