Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Biashara ya catering services ni moja ya biashara zenye fursa nzuri, hasa kutokana na kuongezeka kwa sherehe, harusi, mikutano, semina, birthday, mahafali na matukio mbalimbali. Hata hivyo, ili...
0 Reactions
0 Replies
438 Views
Habari wakuu, Kumekuwa na mwamko mkubwa wa uwekezaji nchini, ambapo watu wengi wameanza kuwekeza kwenye Hisa (Shares) na Hatifungani (Bonds). Hata hivyo, bado kuna maswali mengi kuhusu tofauti...
2 Reactions
1 Replies
208 Views
guest-1788672427
Abcd
12 Reactions
64 Replies
999 Views
Biashara ya bakery ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu bidhaa kama mikate, keki, maandazi, biskuti, doughnuts na vitafunwa vingine vinahitajika kila siku. Hata hivyo, mafanikio...
1 Reactions
1 Replies
403 Views
Disclaimer (cha kuzingatia): This is not a get rich quick scheme (hauto tajirika ghafla ndani ya masaa au siku kadhaa), imenichukua mwaka kufikia wakati ambapo naweza pata faida ya millioni moja...
167 Reactions
415 Replies
153K Views
Naomba kujua bei ya mahindi hapo mkoani kwako
4 Reactions
31 Replies
646 Views
Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa...
53 Reactions
167 Replies
6K Views
Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Wakuu nisizunguke sana, naomba mawazo yenu namna naweza kupata mtaji nahitaji Million 5.5 niweze ifanya kama mtaji wa biashara ila sijui naanzia wapi kwa sababu sina assets wala sikopesheki...
16 Reactions
56 Replies
2K Views
GHOROFA INAUZWA LOCATION MTONI KIJICHI BEACH ⛱️ DOCUMENTS HATI TITLE DEED VYUMBA 5 VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BEDROOM BEI NI TSH 1.3b/- MAONGEZI YAPO UKUBWA WA ENEO NI SQM 2700...
3 Reactions
6 Replies
270 Views
Nimuda mrefu Tangu niweke andiko katika jamvi na jukwaa hili.Hii ni kutokana na changamoto na Purukushani za Maisha.Najua umekuja kwenye huu uzi haraka kwa sababu ya Kichwa cha Uzi. Lengo la UZI...
2 Reactions
6 Replies
221 Views
Habari zenu Wanabodi? Natumai mpo vizuri, Niingie kwa mada, Kumekuwa na hizi SMS za mitandao ya simu wakituma Kiasi cha fedha ktk akaunti ya mtumiaji wakidai ni gawio, mara nyingi binafsi huwa...
13 Reactions
38 Replies
578 Views
Habari, Kuna kero kubwa sana inayozidi kuongezeka kwenye sekta ya usafirishaji hapa Tanzania, hususan kwa madereva wa malori makubwa. Kama transporter, serikali inaweka masharti makubwa...
4 Reactions
5 Replies
212 Views
Katika maisha ya sasa, wazazi wengi hutumia muda mwingi kazini, kwenye biashara au katika shughuli nyingine za kila siku. Hali hii imeongeza uhitaji wa sehemu salama ambazo watoto wanaweza kukaa...
2 Reactions
1 Replies
572 Views
Ni wapi wanaprinti picha kwenye mbao kwa ghalama nafuu
0 Reactions
0 Replies
88 Views
Pata nyaraka zenye viwango vya kimataifa sasa!📄 Kwa kuandaliwa:- 1. Business & Project Proposals Miradi: Kituo cha yatima (Orphanage), Usafi wa mtoto wa kike (Girls hygiene), n.k.Lengo: Kuomba...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Awali ya yote ashukuliwe Mungu Mkuu atoaye pumzi na afya. Wadau najua wataalamu na wafanyabishara wamo humo ndani naombeni ushauri kama nilivyoeleza hapo juu kuwa kipato changu na nahitaji...
2 Reactions
21 Replies
507 Views
6- ROOMS (4-MASTER BEDROOMS) MTONI-KIJICHI USHUANI GHOROFA INAUZWA BEI; MILLIONI 650 SQM 1.500 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
0 Reactions
0 Replies
93 Views
SHULE INAUZWA IPO DSM, KITUNDA UKUBWA WA ENEO NI EKA 12 FULL DOCUMENTS BEI NI TSH 9b/- 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
2 Reactions
8 Replies
294 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…