Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

je haki imeshatengeka? na sheria za madini je? Dhahabu ya damu' ya Bulyanhulu haki itendeke kwa damu iliyomwagika MIAKA 15 imepita, lakini sauti za wachimbaji wadogo wa dhahabu waliouawa kwa...
5 Reactions
34 Replies
6K Views
Should the nonprofit attempt to target all potential charity donors with its fundraising, or should it focus on specific groups of donors, particular types of people, particular types of...
0 Reactions
1 Replies
725 Views
Wanajamvi zipo changamoto nyingi kuhusiana na mikopo inayotolewa kupitia Application za simu kama Umoja Loan, Premium, Branch na wengineo ikiwemo mteja kubambikiziwa riba kubwa sana zaidi ya...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za jioni wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Jamani sikia, omba yasikukute. Baada ya kupigika na kupoteza mtaji wangu wote kwenye uchimbaji nilikuwa najishughulisha na uchimbaji madini...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwasababu...
3 Reactions
138 Replies
36K Views
MBUNGE MAHAWANGA AZINDUA KIWANDA CHA USHONAJI KATA YA WAZO Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga ameungana na mamia ya Wanawake wa Tawi la Kisanga Kata ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajf natumai mpo poa, Naomba anayejua duka ambalo naweza pata mota kwa bei nzuri ukiachana na autosokoni. Nawasilisha kwa msaada.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wana trade forex karibuni tujadili pamoja pair za kutrade, kushare signals, kufanya analysis na kujadili kuhusu take profit and stop loss. Wazee wenzangu karibuni sana tu share...
2 Reactions
81 Replies
23K Views
Wakuu naomba kuuliza nimepokea pesa kimakosa bila ya Mimi kuikagua je?hii benki wataikubali ?maana Kuna mtu kaniambia sitobadilishiwa kutokana na kwamba hakuna zile namba nyekundu.
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za Leo wanaJF, Nilitamani kuanzisha duka la simu, kwenye utafiti wangu, Kuna watu wakaniambia ninaweza kuuza cash na kuuza kwa mkopo. Sasa hii biashara ya kuuza simu kwa mkopo...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari zenu, Nilikuw napenda kuwa wakala wa sukari au mafuta kutoka kiwandani. Yaani kuwa mfanyabiashara yoyote mwenye abc za kuwa uwakal wa bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kabla sijazungumzia kuhusu nidhamu na motisha ( discipline and motivation) Nianze Kwa kutoa mfano, Hapo zamani kidogo nilipokuwa nasoma sekondari nilikuwa napenda Sana kuangalia filamu za akina...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
WADAU Salamu sana kwenu. Awali nilifanya biashara kama proprietor na Kwa kuwa nilizihudumia taasisi za serikali basi nililazimika kununua EFD machine. Changamoto ni kwamba unaweza ku supply...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Kilimo kina madoni Uchimbaji madini una madoni Vitenge kuna madoni Car wash zina madoni Bar zina madoni, samaki zina madoni restaurant zina madoni hii ni mifano kwamba pana uwezekano (sio...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Waungwana nataka kufungua biashara hii maeneo kama Tabata au Goba naomba msaada wa mawazo mtaji mdogo kiasi gani naweza kuanza nao na being za fremu maeneo hayo. Wenye uzoefu naomba msaada went...
1 Reactions
35 Replies
8K Views
Natafuta mtu anaeweza kuandika "Business plan/Andiko la mradi" kwajili ya kupata mkopo wa trekta benki. Mwenye samples au mwenye ujuzi plse check me on +255717217520
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wafanyabiashara leo nilikuwa Ofisi za TRA mkoa flani kwaajili ya kufunga biashara kutokana na kodi kuwa kubwa na gharama za uendeshaji kuwa kubwa nilijaribu kuongea nao naona wako mbali na...
1 Reactions
3 Replies
559 Views
Niko Dar, nataka kujua biashara ya mgahawa KAHAMA ikoje? Wateja wapo wa kutosha?
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Naomba mwenye uzoefu na hii Biashara jamani anieleze A-Z. Nataka kuianza
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, Ndoto yangu ni kumiliki hii mashine na kufungua kiwanda changu kidogo cha kukaushia dagaa kanda ya ziwa. Nimeangalia ina kost $3,000 tu jumlisha na shipping cost kama $2,000...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom