Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Naibu Waziri Mhe. Kigahe Awataka Wafanyabiashara Kutumia Fursa ya Soko Huru la Afrika Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amewataka wafanyabishara, wajasiriamali na makampuni...
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Habari vp wanajukwaa. Mm ni kijana naomba msaada wa ushauri kuhusu karasha la kusaga mawe na kuwa unga. Je kuwekeza katika karasha inalipa au vip na kama kwel inalipa ni jinsi gan inavyo leta...
2 Reactions
1 Replies
988 Views
Salaam! Naomba anayejua kibali cha kuuza mkaa kinapatikanaje - wapi na kwa bei gani kwa muda gani (miezi 6 na mwaka). Pls help me with relevant info. Asante! Habarini? Ninaomba kuifaham hii...
1 Reactions
337 Replies
125K Views
Kwa mahitaji yote ya security system usisite Tupigie 0758 476 215 kwa Bei Nafuu na ubora wa hali ya juu iwe cctv camera motor gates intercom intruder alarm electric fences Tracking devices bila...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Kwa mahitaji yote ya security system usisite Tupigie 0758 476 215 kwa Bei Nafuu na ubora wa hali ya juu iwe cctv camera motor gates intercom intruder alarm electric fences Tracking devices bila...
0 Reactions
0 Replies
382 Views
Habari Wana Jamvi, Naomba Ushauri Kijana Mwenzenu,Mtoto Wenu Juu ya hili Jambo. Kama Kijana Daima Natafuta Njia ya Kunipatia Passive Income Huko Nikitimiza Baadhi ya Vindoto Vyangu Vidogo vidogo...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari! Jamani natafuta mtu anaehitaji kuanzisha kampuni ya ulinzi. Ninayo leseni lakini sina mtaji natafuta mtu mwenye mtaji tufanye partnership Kama umekuwa interested Mawasiliano. 0672650624
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Mama yangu kastaafu utumishi.kapewa.mafao milioni 100.anataka ushauri ajenge.nyumba yakupangisha au aweke fixed deposit bank ambayo kwa urahisi itampa kama laki saba kila mwezi. Ushauri please
6 Reactions
95 Replies
9K Views
[emoji736][emoji3493]𝐇𝐄𝐋𝐋𝐎!!![emoji118] 𝐔𝐍𝐀𝐇𝐈𝐓𝐀𝐉𝐈 𝐆𝐎𝐃𝐎𝐑𝐎? 𝐔𝐓𝐀𝐙𝐈𝐏𝐀𝐓𝐀 𝐊𝐖𝐄𝐓𝐔 𝐁𝐄𝐈 𝐍𝐈 𝐏𝐎𝐀 𝐓𝐔𝐍𝐀𝐊𝐔𝐅𝐈𝐊𝐈𝐒𝐇𝐈𝐀 𝐌𝐏𝐀𝐊𝐀 𝐔𝐋𝐈𝐏𝐎 𝐁𝐔𝐑𝐄𝐄𝐄𝐄𝐄 𝐎𝐅𝐈𝐒𝐈 𝐙𝐄𝐓𝐔 𝐙𝐈𝐏𝐎 𝐃𝐀𝐑 𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀 𝐍𝐀 𝐀𝐑𝐔𝐒𝐇𝐀 NAMBA ZETU 0657050325 0763542515...
2 Reactions
0 Replies
631 Views
Connecting with new donors is crucial to growing your nonprofit’s supporter base and ultimately raising more for your cause. New donors invigorate your nonprofit with a fresh wave of funding and...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam alaikum wajumbe. Jamani nilikuwa na wazo la kuanzisha kilimo Cha matunda hasa miembe ya kisasa na sababu zilizopelekea ni pamoja na kwambaa baada ya miti hii kukua ni rahisi sana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu, naandika nikiwa very down yaani, na kila nikifikiria nashindwa kujua what kind of friends do I have? Nimekuwa na marafiki kadhaa ambao kwa mtazamo wangu nimekuwa nikidhani tunafaana...
17 Reactions
89 Replies
9K Views
Watu wengi miongoni mwetu akili yetu tulipo ishia ni tukimaliza masomo basi swala la kwanza ni kuajiliwa ndio kitu tunacho waza na pia elimu yetu inafundishwa kwa ajili ya kuajiliwa somo la...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wana Jf, Baada ya kusota bila ajira kwa miaka 5 Sasa nimekubali Jiji la Dar siyo sehemu yangu sahihi ya kuishi na kufanikiwa, hivyo nime amua kwenda kianzisha makazi Mtwara Mjini au Lindi...
10 Reactions
77 Replies
14K Views
Kwa kweli kuna watu wanajua kubalans maisha ya Dar. Mtu ana mtaji wa elfu 50 anaingiza faida ya elfu 15 mpaka 20 na anaishi Dar vizuri tu. Nawashangaa sana Wasomi wengi wakipewa milioni 1 wanadai...
17 Reactions
81 Replies
12K Views
Habarini za Usiku ndugu Zangu poleni na Majukumu ya kazi ya wiki nzima huku tukisubiri bia za Bure kutoka kwa Konda boy Nirudi kwenye mada, Hill Water mliingia vizuri sana kwenye soko mkapindua...
9 Reactions
69 Replies
13K Views
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo. Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada. Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba). Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii Mary Masanja amesema Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imejipanga kuboresha huduma kwa watalii katika nyanja mbalimbali ili kuvutia...
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Naomba masaada kwa wenye kufahamu zaidi nahitaji kuagiza mzigo AliExpress nishaweka order zangu kwenye cart lakini sina uzoefu wowote wa kununua bidhaa online kwa njia hii, nimewahi kununua...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari mabibi na mabwana, kwa yeyote mwenye kuwa na uelewa mpana juu ya soko la hisa la Dar es Saalam naomba ashee na mm hapa kwaniaba ya wengi wanaohitaji kujua. Ningependa kujua yafuatayo 1...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom