Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wasalaam Nianze kwa kuwapongeza benki ya KCB kupitia KCB FOUNDATION kuanzisha program ya jiajiri ikiwa na lengo la kumpa ujuzi kijana ambaye hana ajira aweze kujiajiri na kujikwamua kiuchumi...
1 Reactions
1 Replies
606 Views
Tarehe 25 Agosti 2023: Baada ya Benki ya CRDB kufungua tawi, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa amewakaribisha wawekezaji kutoka ndani na nje ya Tanzania kuja kuwekeza kwenye fursa...
0 Reactions
1 Replies
917 Views
Habari zenu wakuu, Nipo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma nahitaji kufanya biashara ya kuuza mayai jumla na rejareja Kuhusu masoko yapo ila changamoto ni wapi nitapata mzigo kwa bei ya chini kidogo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tafadhali naomba msaada wenu wa Mawazo wadau, Ni biashara gani yeyote ya mitaji ya chini ninaweza kufanya ikanipatia faida kuanzia 10k kwa siku? Kwa Mazingira ya Dar Es Salaam
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habarini wadau. Natafuta basi la kutoka Dar es Salaam to Kampala ambalo lina huduma nzuri Ahsanteni
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habarini wana jamvi,nimekuja kwenu naomba kujua iko hivi Mimi nina wadogo zangu wa kike wawili na ni mjasiriamali nataka kuwaokoa kwenye ishu ya kuhangaika na ajira nataka niwashilikishe kwenye...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika utoaji wa Tunzo za Tanzania Consumer's Choice Awards hapo tarehe 13 Disemba 2020 shirika letu la ndege limeibuka mshindi katika Category 2 (Most Preferred Domestic Airline) na MOST...
12 Reactions
99 Replies
10K Views
Wadau kwema? Ninafikiria kuanzisha biashara ya kucheza mchezo wa Paintball Guns, naomba kufahamishwa wapi naweza kuzinunua pamoja na utaratibu wa kuzimiliki. Asante
2 Reactions
6 Replies
915 Views
Asalam wakuu kwa yoyote anayefahamu mahali au duka naloweza kupata hii box au kama kuna mtu anauza.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama upo Arusha na una wazo la biashara kwa mtaji wa elfu hamsini (50,000) ila huna mtaji niandikie meseji inayoelezea wazo lako kisha tuma kwenda namba 0768174862. Nitatoa mitaji kwa mawazo...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Dar es Salaam, 24 Agosti 2023: Katika juhudi za kuongeza uwezo wake wa kufanya uwezeshaji wa miradi rafiki kwa mazingira, Benki ya CRDB imepata idhini kutoka Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana humu ndani, hope mko njema that y twakutana humu, ombi langu naomba wenye ujuzi ktk kilimo cha mbogambogo wanisaidie maujuzi ya kilimo cha chinese, kuanzia kuandaa shamba...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Vilabu vikubwa vya Ulaya vinamtangaza Emirates kila kukicha. Mechi inachezwa uwanjani na ukitazama yale mabango ya umeme yanayokatiza pembeni ya mstari wa uwanja huwezi kulikosa bango lenye sura...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Naomba msaada wa mbinu za kupata wateja online ukiachana na kupost FB. Nimekua na utaratibu wa kupost matangazo yangu ya biashara online kupitia fb zile business groups na naona outputs ni ndogo...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari wakuu nahitaji DOGECOIN 100 mwenye nazo...
1 Reactions
10 Replies
749 Views
Habari ndugu zanguni, Ndungu zanguni naomba tuweni makini na biashara za mtandaoni watu wanalia na MTFE huku wengine wamepata stroke wamelazwa. Kwa nini mwalimu wetu amekuwa kipofu kiasi...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu. Mdau anomba mwenye kufahamu bei ya jumla TOMATO SAUCE za RED GOLD galoni za lita5 na FOIL wanauzaje na kwa Dar wapi zinapatikana kwa urahisi
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana Jamii, Naomba kupata ushuhuda kwa waliobadili akaunti za kupitishia mshahara. 1. Je, haiwezi kupelekea kukosa mshahara? 2. Je, mhusika ni HR tu au kuna ngazi nyingine ya kwenye zoezi...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Tangu TICTS waondoke, hali imekuwa si haki bandarini; Uchakavu wa mizigo, kuchelewa kuteremsha, mpaka mashine za kuhamisha makasha zinakosekana, kisa vipuri hakuna. Watu wa manunuzi wanafanya yao...
1 Reactions
2 Replies
497 Views
Wakuu habari za muda huu. Kuna kampuni hivi jina niipe jina la X imefilisika, kwa hiyo ikabidi wafanyakazi wasitishiwe mikataba yao (redandacy). Hivyo basi kwa sababu hilo suala liko kisheria...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom