Naomba ushauri wa biashara za vitabu used

Selemani See

Member
Aug 27, 2023
20
30
Ni matumaini yangu kuwa hamjambo.

Bila kupoteza muda, naomba nizame kwenye mada.

Kwa yeyote mwenye idea juu ya uuzaji vitabu used (mitumba).

Napita mitaani naona watu wanauza vitabu used.

Binafsi, naomba kujua huwa wanavilangua wapi?
 
Ngoja wajuvi waje.ila pia unaweza jaribu kupitia nyumba kwa nyumba ukiuliza kam wanavitabu walivyosomaga na hawavisomi tena,,,,mf mi vitabu vyangu hard copy vyote niliuza baada ya kupata softcopy yake niliwauzia wale wauzaj wa madukani, kwasasa nimebaki navyo viwili Think Big cha Ben carson na Unanswered cries navitaftia wateja tena.
 
Biashara kichaa isiyo na mzunguko. Hata bookshop ni biashara iliyopitwa na wakati
 
Biashara ya vitabu kwa waafrika nadhani inahitaji ujitoe kweli kweli,mana waafrika suala la kusoma vitabu halipo,kauze vitabu vya wanafuzi kiada na ziada. Tofauti na hapo unajitafutia njaa za bure tu. Uanze kulaumu watu.
 
Daah biashara ya vitabu used! Aisee kila mtu ana idea yake ya biashara kwa kweli! Wabongo walivyo wavivu kusoma😂
 
Ngoja wajuvi waje.ila pia unaweza jaribu kupitia nyumba kwa nyumba ukiuliza kam wanavitabu walivyosomaga na hawavisomi tena,,,,mf mi vitabu vyangu hard copy vyote niliuza baada ya kupata softcopy yake niliwauzia wale wauzaj wa madukani, kwasasa nimebaki navyo viwili Think Big cha Ben carson na Unanswered cries navitaftia wateja tena.
Vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom