Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo...
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?
Unapataje deli?
Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?
Mchanganuo...
Mpango Jumuishi wa Harambee (Integrated Fundraising Plan) ni nyenzo muhimu katika kuiwezesha Taasisi kufikia malengo yake. Mpango huu huiwezesha Taasisi kutekeleza Programu zake na kuiwezesha...
Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni...
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency...
Nimewaza hii biashara za kukusanya simu used mitaani na kupeleka vijijini huko nikapige pesa, kwa mfano kuna siku nilinunua simu 1 hapa town 12000 jamaa aliliwa katika kamali akawa hana nauli...
wakuu wa jukwaa muhimu sana
NImeulizwa swali na ndugu yangu mmoja
Hivi ni mazao gani yanastawi msimu wa mvua za vuli kwenye mikoa ya kigoma, manyara, pwani na iringa??
Kwa uzoefu nilioupata nikiwa Kariakoo kutoka Kwa wafanyabiashara mbalimbali na kutumia uzoefu wangu mwenyewe wa kuagiza mizigo kutoka China kuja Tz kama wew Ndio unaanza Kwa mara ya kwanza kabisa...
Wadau habarini,
Kuna ndugu anahitaji kununua pikipiki kwa ajili ya biashara na ni mara ya kwanza kufanya hiyo biashara lakini katika uchunguzi wake amegundua kuna aina tatu ndani ya biashara ya...
Heshima kwenu wakuu.
Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4...
Habari wana JF.
Kuna idea imekuja gafla hapa nikasema ni share na wana kama niaje unaweza niambia kama its possible or day dreamer. Nowadays nimeona kwa DAR watu wengi wanapenda kucheza PS ila si...
Kama umekuwa ukitafuta Mbinu ya kutawala Soko La biashara yako ili uweze Kuuza zaidi basi Soma hiki…
.
Kilichofanywa na hawa “Milk Duds” huko Nchini…
.
Marekani!
.
ILA…
.
Kabla Sijakwambia...
Naibu Waziri Kihenzile Akutana na Watendaji TCAA, Awasisitiza Kufanyia Kazi Hoja za CAG
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile (Mb) ameonana na watendaji wa Mamlaka ya Udhibiti...
Unahitaji kuongeza kipato chako kwa kumiliki mashine za popcorn [emoji897]
Nakushauri tutafute ni biashara nzuri kama utapata location nzuri
Au ukatengenezewa toroli maalumu ambalo ni mobile...
Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja