Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habari wapendwa, inahitajika asali kwa wingi. Mwenye connection aliye serious tuwasiliane PM.
4 Reactions
3 Replies
549 Views
[emoji383]MONEY MISTAKE 1 Usikope pesa ya riba ili uanzishe biashara. Usitegemee pesa ya mkopo kuianzishia biashara, upate faida kisha uirudishe pesa ya mkopo na riba yake. [emoji383]MONEY...
12 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wana jf. kam kichwa kinavyosem nahitaji kujua mchanganuo wa hii biashara ikiwemo mtaji na ushauri mwngne. Asanteni
2 Reactions
2 Replies
1K Views
…miaka ya Nyuma nchini Marekani… Kulikuwa na ushindani Mkali sana kwenye Soko La… “Magari ya Kukodisha” (Rental Cars) Na… Moja ya Kampuni ililokuwa Inatawala Soko hilo ilikuwa ni Kampuni ya…...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Habari zenu Great thinkers? Naomba kujua fursa za biashara zilizopo katika nchi mbili nilizozitaja hapo. Ni bidhaa gani naweza kutoa Tanzania nikapeleka huko au ni bidhaa gani nitaitoa huko...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Samahani kwa mwandiko mbovu kidogo ila naandika nikiwa nina hasira sana baada ya jamaa yangu kuniletea taarifa nimekosa zaidi ya mil 2 kizembe sana. Mimi ni kijana wa taaluma ya sheria na...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwenye access na soko la vanila anielekeze.
1 Reactions
6 Replies
577 Views
Wakuu, Ujue sisi ambao tumesoma masomo ya giza na pia mara nying ni one man show. Tunachezea sana vipigo katika uwekezaji. So siku hizi mimi binafsi nmeona biashara zangu ziwe determined na...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Greetings JF massive! It’s been long time. Nimekuwa busy nikisafiri Tanzania na Kenya. Mwaka 2020 nimepanga kusafiri zaidi hapa Tz ili niielewe zaidi nchi yangu na mimi kutumia opportunity...
16 Reactions
67 Replies
13K Views
Hellow members,baada ya harakati za mchana leo nikasema ngoja niingie online kidogo na mimi nione uwezo wa AI katika kutupa picha ya vitu tunavoviwaza. Basi nikaingia bing.com nikasearch AI image...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo...
2 Reactions
5 Replies
877 Views
Habar ma boss naombeni msaada nataka kununua cruiser ya utali war bus vitu gan ni zingatia wakati wa kukagua gar namna ya kudeal na madalali iwe coil spring sio banz Number ya fundi mzur Arusha wa...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Tafadhali wana JF wenzangu, Anayeweza kunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina soko kubwa. WADAU WENGINE WENYE KUHITAJI KUFAHAMU BIASHARA HII Habari wana JF Naomba...
0 Reactions
601 Replies
353K Views
Nakumbuka maneno ya mweshimiwa raisi samia kuhusu benk kuu kufatilia swala la sarafu za digitali. Bahati mbaya tamko la benki kuu iliishia kutoa vitisho na sababu wanazozijua wao. Lakini leo benk...
2 Reactions
1 Replies
445 Views
Aisee kama kuna kitu siwezi kufanya ni kuishi na Gaidi Next door!! Sasa wakenya mnawezaje kuishi maeneo yanayopakana na somalia kama mandela na Garisa? Usingizi unakujaje? Hasa ukikumbuka...
1 Reactions
49 Replies
3K Views
Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri Mhagama, Ahimiza Uwekezaji katika Sekta ya Utalii Mbinga Imeelezwa kwamba uwekezaji wa hoteli kubwa na za kisasa unasaidia katika kuchochea shughuli za utali na kuongeza thamani ya Mji wa...
1 Reactions
2 Replies
573 Views
Habari za jioni wapambanaji, Nawasalimu kwa jina la jamuhuri. Mimi ni kijana mtafutaji, lakini tokea nipo chuo(Mzumbe) nilijikuta napenda tu kuandika proposal za biashara, kipindi hicho tulikuwa...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Habari zenu watu wa Jamii Forums, Naomba kufahamu Wapi huwa wanatoa mikopo yenye riba nafuu kwa wajasiriamali wadogo au wale ambao hawana vielelezo vya biashara kama vile TIN na LESENI...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Salaam wana jamii forums kwa majina naitwa Khalid Munir mkazi wa Dar mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni kidato cha 3 sikufanikiwa kumaliza Elimu sababu ya maradhi. Nimekuja ktk jukwaa hili...
6 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom