PS5 Business Idea!!!

Investaa

JF-Expert Member
Jul 3, 2015
795
656
Habari wana JF.

Kuna idea imekuja gafla hapa nikasema ni share na wana kama niaje unaweza niambia kama its possible or day dreamer. Nowadays nimeona kwa DAR watu wengi wanapenda kucheza PS ila si kwa faida bali waste of time. Nikaona what if PS kitu ambacho wengi wamekizoea na wanashinda nacho all day kwann washindane kwa pesa.

"Convert Passion into Business"

Ili kuongeza kipato cha vijana wa mtaani na kuwaepusha kuwaza mambo ya hovyo, ni bora kuwape fursa ambayo itawa keep busy kwenye kutumia hobby kupata kipato insteady.

"How its works"

Hapa kila mwanachama anachangia kama hakuta kuwa na mdhanini, mathani kuna BOXER MPYA inawekwa kwenye kinyang'anyiro na utaribu wa kushindana unakuwa kama UEFA. Kutakuwa na wanachama 32 kila mmoja anachagua timu yake ikiwezekana anavaa kabsa kipindi cha mashindano.

Hii kitu inakaa vizuri kama kutakuwa na vitu vifuatavyo:

1. Projector
2. TV inch 100
3. Ukumbi(Air condition and standby generator)

Ikifanyika baa itakuwa mori sana.

Karibu mjazie nyama hapa...
 
Back
Top Bottom