Unahitaji kufanya biashara ya kuuza [emoji897] popcorn(bisi)

JAYDAN4

Member
Feb 15, 2023
34
16
Unahitaji kuongeza kipato chako kwa kumiliki mashine za popcorn
Nakushauri tutafute ni biashara nzuri kama utapata location nzuri
Au ukatengenezewa toroli maalumu ambalo ni mobile

Bei za mashine bila toroli lake

Popcorn ya umeme 350,000 tu
Hii unaweza kuweka nje ya fremu yako
au kwenye duka mtaani ulipo bado ukapata wateja tunaelekea likizo watoto watakuwa wengi mtaani



Popcorn ya gesi hii unaipata kwa 640,000 tu
Hii inamfaa sana atakaetaka kuzunguka mtaani ikiwa na tolori maalumu


Gharama ya toroli inategemea tutakavyoshauriana nawe nizidi kuwakaribisha kwa mashine mbali mbali na ushauri
0657050325 tupo dar es salaam

Mikoani utatumiwa kwa uaminifu mkubwa sana
 
Popcorn machine ongeza mtaji wako kwa kumiliki hii mashine
34e98dd0316812cbd6b38f54e7ed158d.jpg
 
mi natak mnikopeshe niwe nalipa taratibu.inawezekana? niko na eneo zuri najua biashara itafanyika.
 
Back
Top Bottom