Kwa wanaotaka kufanya biashara ya Alizeti, msimu ndio huu hapa

jogijo

JF-Expert Member
Mar 29, 2019
260
490
Habari wakuu! Niliwahi kuandika hapa kuhusu biashara ya alizeti na mafuta yake!
Kwa mwaka huu kama unataka kufanya biashara fanya hii na itakulipa! Mafuta yameshuka Sana bei Hadi kufikia 48000 Kwa dumu la litre 20. So hapa uhakika wa kupata double profits Kwa mwaka huu upo.
Mm mwaka huu sina pesa tu ningenunua but mtaji nilikula so Kwa anaetaka aweke mchongo apate Hela!
NB: Sifanyi kazi ya udalali ingia mzigoni mwenyewe
 
Je uko na uzoefu na hii bznes? Na inahitaji mtaji kama bei gani?
Asante
 
Habari wakuu! Niliwahi kuandika hapa kuhusu biashara ya alizeti na mafuta yake!
Kwa mwaka huu kama unataka kufanya biashara fanya hii na itakulipa! Mafuta yameshuka Sana bei Hadi kufikia 48000 Kwa dumu la litre 20. So hapa uhakika wa kupata double profits Kwa mwaka huu upo.
Mm mwaka huu sina pesa tu ningenunua but mtaji nilikula so Kwa anaetaka aweke mchongo apate Hela!
NB: Sifanyi kazi ya udalali ingia mzigoni mwenyewe
Litre 20 48,000.acha masihara jamaa
 
Ni mkoa gani huyo lita 20 48000 mkuu??

Na vp uhifadhi wake, huwa mafuta yanaharibika au alizeti yenyewe kuharibika mfano ukaamua kununua kipindi hiki bei iko chini, uhifadhi uje kuuza bei ikipanda.
 
Back
Top Bottom