Naomba kujuzwa utaratibu wa kuendesha ofisi ya Welding na Seremala

Jizo33

New Member
Aug 8, 2023
1
0
Naomba kujua utaratibu wa kuendesha ofisi ya welding na seremala kama boss si fundi wa hizo fani,jinsi ya kuwalipa welders na mafund wengne.

(NB mashine na vifaa vingne vyote vya boss)
 
Back
Top Bottom