Nayashauri makampuni ya simu yaanzishe fixed accounts kwenye huduma zao za kifedha

Hazard CFC

JF-Expert Member
Apr 7, 2015
16,106
2,000
Nayashauri haya makampuni makubwa ya simu kunzisha fixed account ambazo tutakua na uwezo wakuweka pesa tu bila kutoa hata iwe mvua liwake jua kwa kipindi cha mwaka na zaidi.

Mteja apewe options ya kuchagua muda ambao ataweza kuitoa pesa yake. Options ziwe mbili kutoa baada ya muda flani au kutoa baada ya kufikisha kiasi flani.

Pia kua na option ya kila wiki au siku lazima uweke kiasi fulani humo kwenye akaunti yako usipoweka watumie kale katabia kasongesha hata ukiweka salio walifyeke waweke kwenye account yako.

Anyway nimeyafikiria haya baada ya bar nyingi kua na huduma ya lipa kwa mpesa.

1620896206969.png

 

Superfly

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
277
500
Ila sijajua wao watapiga vipi faida,hilo sijalifikiria wale hua hawafanyi biashara isiyo na faida
Faida wataipata tu.. Ni vile tu mfumo utapangwa, wanaweza fanya kama benki tu ukawa unalipia kiasi fulani cha Pesa kulingana na muda uliotunza pesa zako.
 

MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,955
2,000
Ila sijajua wao watapiga vipi faida,hilo sijalifikiria wale hua hawafanyi biashara isiyo na faida
Faida inaweza patikana kwa wao kuitoa pesa na kuiweka fixed account kwenye mabenki na hata kuwakopesha watu kupitia mabenki.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom