Ni uzi mwingine tena kuhusu Application za kukopesha watu ukiwa na dharura.
Sijakopa, ila hii weekend nimetumiwa zaidi ya meseji 8 tofauti tofauti ya watu wanne nnaowajua wamekopa na hawajalipa...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Shipping line wamepandisha bei ya kusafirisha mizigo katika kile kinachoitwa sababu zisizozuilika.
Taarifa zao hizi hapa
Toa maoni yako
MHE JULIANA MASABURI AISHAURI SERIKALI IWASIMAMIE WASAFIRISHAJI WA MIZIGO ILI KUPATA KODI HALISI KWA WAFANYABIASHARA
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa Mhe. Juliana Didas Masaburi tarehe 23 Juni...
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji...
Habari
Kwa majina naitwa Jerry na ninajihusisha na uuzaji wa magari used nikiwa kama dalali kwa muda mrefu ndani ya Dar es Salaam.
Leo ningependa kushare nanyi kuhusu biashara hii ya magari hasa...
Wakuu, hongereni kwa mapambano ya hapa na pale katika kuutafuta mkate wa kila siku, pengine kutengeneza ziada ya kufaa kesho.
Mniwie radhi kwa kuwa niliahidi kila baada ya miezi sita nitakuwa...
Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri ila sina mtaji? Haya ni maswali ambayo wengi wetu tunajiuliza sana kwenye harakati zetu za kila siku kwenye kutafuta maisha. Kuna njia ambazo tunaweza...
Ukimuona mtu anaichukulia poa Facebook basi huyo sio mfanyabiashara wala mjasiriamali.
Hajui chochote kuhusu business.
For your information Facebook is more better in business than instagram...
Kumekuwa na mfumo huu kandamizi wa bank nyingi Tanzania kumtoza ada ya kupitisha mkopo mteja wa bank hizo. Ukiangalia kiundani,kuandaa mkopo na kumhudumia mteja ni jukumu la bank.....mteja aishie...
Niulizie chochote kuhusu biashara ya viatu vya kiume na viatu venyewe
Natumaini mko wazima wa afya mwenye changamoto za maisha hapa na pale pole sana amini kila jambo linapita na litakuacha ukiwa...
1. kijana wa kuuza duka ambae kashinikizwa na wazazi/ ndugu, hawa mara nyingi wamekubali kazi kwa msukumo tu kishingo upande, ni ngumu kufanya kazi kwa kujitoa
2. Ndugu wa mke - hakikisha wanakaa...
Matatizo ya mashine za EFD yapo ya aina nyingi tangu umiliki wake mpaka katika matumizi.
Ukichunguza sana utagundua hizi mashine kama hazifanyi kazi ya kukushanya kodi peke yake bali na kumnyonya...
Salary 1.5 m net
Familia mme, mke, mtoto mmoja, mfanyakazi mmoja na ndugu mmoja.
Nyumba ya kupanga kodi laki kwa mwezi.
Mtoto anasoma english medium ada laki 8 na 50 kwa mwaka
Malipo awamu tatu...
Kipindi nipo chuo miaka miwili iliyopita nilikuwa naona USD inacheza kwenye Tsh2300 hivi lakini hivi sasa Dollar imepanda sana. Hii inamaana gani kwenye uchumi wetu?
Kwanini Shilingi inadhidi...
Tanzania - Chanzo cha Binadamu
Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.