Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

  • Closed
Ndugu zangu, kwa siku za karibuni kumekua na watu mbalimbali katika taasisi za Umma na binafsi wakijihusisha na Uwekezaji katika kampuni ijulikanayo kama FIC ambapo wanaweka mitaji na mitaji hiyo...
6 Reactions
24 Replies
8K Views
Hello wana JF, Mimi ni kijana wa miaka 21 naish kijijin kwa sas Mimi bhan katika maisha yangu Kuna ndoto kubwa Sana nawza ambayo natamani sana kuitimiza Ila nashindwa kwa sababu kwa sasa nipo...
4 Reactions
48 Replies
2K Views
Heshima zenu wana nzengo. Jamani nina swali, kuna nyuzi nyingi humu JF, zikidai kuwa huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa. Sasa swali langu ni kwamba je waajiriwa wote wa Serikali sio matajiri? Mfano...
2 Reactions
42 Replies
3K Views
Biashara ina miaka 2½ lakini hakuna progess ya maana. Mwanzo nilianza vizuri ila ghafla mambo yaka kata. Aisee nimerogwa au? nitaendeshaje familia? 😭😭😭 Nifanyeje wakuu, naombeni msiwe na...
19 Reactions
187 Replies
8K Views
Baada ya kukutana na met Wangu akiwa anamuelekeza mtu Kujiunga nikajua kumbe ipo na kuona account yake karecharge laki kavuna elf 70 na point nimehamasika Leo naanza na 50 true freedom comes from...
17 Reactions
99 Replies
14K Views
Bila content, hakuna engagement na bila engagement, hakuna mauzo! Kwa Nini Content ni Muhimu? Inajenga Uaminifu na Brand Awareness – Wateja wanapokuona mara kwa mara na kupata elimu kuhusu...
3 Reactions
8 Replies
880 Views
Habar ndugu nipo hapa kuwashirikisha fursa hii ya digital currency ( PI coin) mpya ambayo inaingia sokoni rasmi kuanzia tarehe 31.1.2025 Ndugu zangu Coin hii ni rahisi Sana kuipata Kwan unaipata...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Biashara ndogondogo zinaonekana kuwa mkombozi kwa watu wengi linapokuja suala la kupata ajira na kipato. Hata hivyo, kuanzisha na kuendeleza biashara ndogondogo si jambo jepesi. Bila kuzingatia...
8 Reactions
5 Replies
4K Views
Miongozo ya Makadirio ya Kodi ya Mapato kwa Mujibu wa Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (Marekebisho ya 2023) Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Kifungu cha 84 (kama...
0 Reactions
0 Replies
564 Views
Baada ya kutoa fungu la kumi yaani 1/10 (10%) ya mapato yako na sadaka kwa wamuaminio Mwenyezi Mungu na agizo lake Hilo kuhusu baraka za kiuchumi kinachofuata ni kuweka 1/5 ya kipato chako kama...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakuu, Kumekuwa na wadau kadhaa wakiulizia ni taratibu zipi za kufuata ili kuanzisha maabara binafsi ya afya(Health laboratory),lakini hayajapatikana majibu ya kina kukidhi haja zao,hivyo nimeona...
55 Reactions
123 Replies
38K Views
Kwa ambao hatukusoma sana,si wajuzi wa teknolojia ya Hali ya juu,mitaji mikubwa changamoto kwetu,basi suruhisho la kututoa ktk UMASKINI ni biashara ya duka. Faida ya duka la mahitaji ya...
30 Reactions
60 Replies
17K Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi Nina tatizo Moja, nataka kuanzisha biashara ya genge la nyanya, vitunguuu, mboga mboga ila naona aibu kutoka na mazingira niliyopo na namna watu watanichukulia...
27 Reactions
173 Replies
6K Views
Zipo sababu nyingi za kimazingira zinazoweza kutumika, kujua mwelekeo wa kibiashara utakuwaje kwa mwaka husika na kuendelea. Sababu au viashiria hivi huitwa MICRO & MACRO ENVIRONMENTS. Kwa pamoja...
3 Reactions
9 Replies
5K Views
Kila siku tunalia biashara ngumu sawa biashara ni ngumu kama hautojiongeza kwendana na wakati wa sasa unataka nini,usipoelewa wakati unataka nini basi "wakati" utakuelewesha unachotaka. Lazima...
107 Reactions
191 Replies
36K Views
▪️Waziri Mavunde ainisha Mkakati wa uongezaji thamani Madini ▪️Taasisi za Jiolojia na Utafiti Madini za Tanzania na Uingereza kushirikiana ▪️Watanzania kujengewa uwezo kukuza ujuzi 📍Dar es...
0 Reactions
6 Replies
445 Views
Kutokana hili tatizo la ajira kuzidi kuongezeka hapa nchini na kuacha baadhi ya Graduate wakizagaa tu mtaani, kuzurula mtaani, kukaa nyumbani tu naomba mtu anisaidie kutupa njia au mbinu...
14 Reactions
180 Replies
32K Views
Mimi ni mfanyabiashara Tanzania na Comoro. Nilianza mwaka jana lakini mafaniko ni makubwa kwan kuna fursa nyingi sana sababu visiwa vya Comoro 96% wanategemea vitu pamoja na chakula kutoka nje...
46 Reactions
349 Replies
90K Views
Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya...
0 Reactions
1 Replies
368 Views
Back
Top Bottom