Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

1. Watch Videos and Get Paid (Angalia Video Youtube na Ulipwe) Hakuna pesa inakuja kwa kutizama wananzengo tufanyeni kazi jamani. •Mara nyingi, wanakutaka uweke hela kwanza kabla wao hawajakulipa...
11 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari, naomba ufafanuzi kidogo kwa mwenyewe uelewa juu ya uwekezaji Bora wa kupanda na kuuza miti KWA AJILI ya mbao. Juu ya aina Gani ya mititi inasoko na faida nzuri na hauchukui muda mrefu sana...
1 Reactions
2 Replies
567 Views
Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Leo ni February 13, na nimejikuta nimevaa polo nyekundu (mke wangu aliamua kufua nguo zote leo, so hi ndo ilibaki kabatini. Tupo wanaume kama 4 hivi...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
  • Closed
Habari wadau wa JF, kuna mtu wangu wa karibu kanitumia huu ujumbe , ananishawishi nijiunge ili nami nipate kipato cha ziada. Swali, je hii sio scam kweli? Kwa wanaofahamu naomba mnipe elimu Leo...
2 Reactions
35 Replies
25K Views
✓✓2025 MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA. ∆ Huu ni mwaka wako wa mafanikio sasa usichelewe fanya haya yafuatayo ili uweze kufika malengo yako mapema ~Tangaza biashara yako kwa namna nyingine kabisa...
3 Reactions
2 Replies
580 Views
Naombeni ufafanuzi kdg juu ya utofauti uliopo wa pikipiki aina ya T-BETTER VS HOJUE kuanzia bei zake kwa sasa dukani na ubora wa kila moja.
1 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Closed
Huu ni uzi maalum na mahsusi juu ya kujadili juu ya hawa jamaa wa Kalynda na namna gani wanafanya kazi zao, pia tujuzane kwa namna gani hawa watu ni wakweli... karibu kuchangia chochote...
9 Reactions
282 Replies
76K Views
Habari wakuu, kuna rafiki yangu anafanya biashara fedha (Electronic money transfer) nikimaanisha Tigo pesa, Airtel money, Halopesa n.k. Amekua akitumia kuandika records zake kwa kutumia daftari...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Kupata pesa za mtandaoni kuna njia nyingi, lakini ni muhimu kuchagua njia salama na halali ili kuepuka udanganyifu na hasara. Hapa kuna baadhi ya njia sahihi za kupata pesa za mtandaoni: 1...
8 Reactions
21 Replies
6K Views
Wakuu habari , shukrani kwa mola muweza alie tukutanisha hapa, niende direct kwenye mada. Changamoto ya spare haswa za Taa za gari , ni kama wimbo wa taifa maana kila mmiliki wa gari anakumbana...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Helloow mwenye taarifa za garama za kiwanda cha kushape bati anijuze,, nataka nianze kujipanga taratibu ndani ya miaka kazaa nianze uzalishaji asante
7 Reactions
30 Replies
2K Views
  • Closed
Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
4 Reactions
295 Replies
45K Views
BRELA, wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Business registration and licencing agency). Kwa nchi ya Tanzania ilianzisha hitaji la Kurudisha Taarifa za Mwaka kwa makampuni kama sehemu ya...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Habari za majukumu wakuu Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za...
1 Reactions
12 Replies
17K Views
Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Wanaokopesha Kwa riba nafuu tafadhari tuwasiliane 0656980802 nahitaji 400,000 asap Kwa mwezi au miezi 2 nimejiajiri mwenyewe nina duka la nguo sinza
0 Reactions
48 Replies
2K Views
Mambo vp wadau Leo nmekuja km digital market. Ni sekta muhimu sana wa wafanya biashara na watoa huduma. Km unakampuni au biashara yoyote ile lazma utahitaji kuwafikia wateja wengi. Na njia...
1 Reactions
8 Replies
940 Views
Aslaam, Baada ya kujikusanya kwenye mtaji na kujiuliza nifanye biashara gani, nimeamua kuchukua 10% ya mtaji WANGU kwenda kuanza biashara. Kiukweli hakuna kitu kigum kwenye biashara kama kuamua...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Simple sana Uzi huu ni maalum kwa wafanyabiashara na mjasiriamali yeyote wa mkoa wowote tujuane tupate connection za bidhaa mbalimbali Mtoa uzi - Tarime Mara - duka la soft drinks 0782741783
12 Reactions
170 Replies
19K Views
Ni muda sana sijaandika uzi, wakuu kwanza habarini, Aseh mimi ni muhitimu wa chuo cha fedha hapa Tanzania, nimesoma masomo ya uhasibu na IT, nImekua nikijihusisha na shughuli za hapa na pale...
2 Reactions
1 Replies
442 Views
Back
Top Bottom