Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Wakuu Habari za majukumu? Nimekuwa nikiongea na fundi mmoja ni rafiki yangu sana yupo kwenye garage moja ya pikipiki maeneo ya gongo la mboto. Akawa ananiambia mdogo wangu (sababu kanizidi...
3 Reactions
18 Replies
8K Views
Nimeangalia video moja Youtube inamuelezea kamajamaa ni magumashi sana. Sehemu kubwa ya pesa anazopata ni kupitia semina anazotoa akichaji dola 12K hadi 45K, na si kupitia biashara ya Real Estate...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Unaweza usimuelewe mswahili mtu ulikuwa unaingiza zaidi ya figures nane then leo unashindwa hata kuanzisha biashara ya mil 100. Hakika mswahili habebeki bora USAID ifutwe mbaya zaidi ukupenda...
11 Reactions
23 Replies
1K Views
Utangulizi Katika dunia ya leo, vijana wa Kitanzania wanakabiliwa na changamoto nyingi, ikiwa ni pamoja na umaskini na ukosefu wa ajira. Hali hii inahitaji maamuzi ya haraka na mikakati thabiti...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kodi gari lenye uhakika na Rhond's company limited linalofaa kwa mahitaji yako yote ya kusafiri. 📅 Yanapatikana sasa – weka oda mapema uhakikishe tarehe zako! ✅ Bei nafuu ✅ Magari masafi na...
1 Reactions
1 Replies
413 Views
Hello Natumaini ni wazima wa afya mwaka jana mwezi kama huu niliandika uzi kwenye jukwaa ili kuhusu biashara ya viatu https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1790275/ Kwa kweli...
32 Reactions
101 Replies
23K Views
Naomba kujua bei za viatu vya mtumba karume kwa sasa na mbinu za kupoint viatu vizuri maana mimi nipo nje ya Dar na ndio naanza mara ya kwanza. Pia naomba kujua kama kuna guest za kufikia karibu...
5 Reactions
16 Replies
5K Views
Jambo! Perfume, body spray, nzuri kwa bei poa kabisa yani bei elekezi bei ya Dubai, perfume za kisasa kwanini unukie changamoto wakati nina Perfume nzuri na za kila aina zitakazo kufanya unukie...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
UBUNIFU Tukiwa kama vijana ambao tunataka kujikomboa kutoka kwenye hali ya chini na kusogea kwenye mafanikio yetu na mafanikio yetu yadumu milele inabidi tuwe wabunifu, kuwa wabunifu inamaana...
1 Reactions
1 Replies
8K Views
JANETH MAHAWANGA, Mbunge wa Viti Maalum; Anauliza; Ni Upi Mpango wa Serikali wa Kuhakikisha Jamii Inapata Uelewa Kuhusu Umuhimu wa Kulipa Kodi na Kudai Risiti? Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad...
1 Reactions
0 Replies
374 Views
Habari wakuu, Nina shamba langu maeneo ya Morogoro, Melela kama eka 10 hivi, sasa kwenye lile shamba wakati ninalisafisha kuna mwamba umeonekana wa dhahabu wao wanaita mwamba dume na wadau...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Angle iron Scaffolding coupler set Scaffolding jack Flat bar iron Gloves Binding wire Safety closest All on sale DM for business
2 Reactions
2 Replies
422 Views
JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini? Serikali imezisisitiza...
0 Reactions
0 Replies
341 Views
Habari ba-Ndugu? Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza, nawatahadhalisha wale wenye mpango wa kutumia Airtelmoney kutuma fedha nje ya nchi kufikiri kutumia njia nyingine badala ya hii. Nilituma...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Jinsi ya Kuanza na Kufanikiwa Kuuza Followers Bila Mtaji – Mwongozo wa Hatua kwa Hatua Kabla ya kuendelea kusoma makala hii, hakikisha unabonyeza REPOST pale juu. Tayari? Chukua popcorn zako na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wengi mnaona biashara ni kama mgodi. Ni heli ukope ujenge kibanda chako uhamie na familia yako, lakini sio ukope uende kuanzisha biashara kama beginner. Labda kama wewe ni mpigaji, unapata pesa...
13 Reactions
61 Replies
3K Views
Wakuu Nina plan tangu mda mrefu sana wa kuhost 2d animation videos za sayansi na teknolojia. Sasa napata wasi wasi juu ya kipato kinacho lipwa na haya makampuni Facebook na YouTube. Je...
1 Reactions
0 Replies
286 Views
Habari za muda huu, Kwa munaelewa hii imekaa je wadau, yaani ipo hivi, kuna wakala anafanya shughuli za miamala yaanu nmb, crdb, nbc na nyrnginezo. Sasa ukiweka pesa mwanzo ni millioni moja, na...
5 Reactions
40 Replies
2K Views
Sema sina mtaji. Ila hapa kongowe pana fursa ya huduma za uwakala wa miamala ya mitandao ya simu pamoja na benki. Juzi nilikua hapo kulipa ada yani wakala anafunga fremu na watu zaidi ya kumi na...
5 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari za majukumu wanajamvi naomba msaada mtu anaeweza nisaidia kupata eneo zuri lenye mzunguko mzuri wa biashara za UWAKALA wa MPESA TIGO PESA na Banks pia. Iwe ndani ya KINONDONI-Dar es salaam...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom