Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) inamepotoa muongozo mpya wa kushughulika na Vyombo vya moto(Magari, Pikipiki na Mitambo)
2 Reactions
3 Replies
881 Views
Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari, jaman nauza kiwanja, ipo mkoa wa Geita, mtaa wa nyankumbu. Kina ukubwa wa sqm500 na kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, seble, dinning na jiko. Bei ni 1.7m Mawasiliano 0783133121
2 Reactions
4 Replies
440 Views
Wandugu tupeane A BC za kumaintain biashara ndogo ndogo ili tuwasaidie wenzetu wanaotaabika na mikopo ya kausha damu. Hapa tuwaongelee wale wajasiliamali wa chini kabisa. Kundi hili linateseka...
5 Reactions
15 Replies
704 Views
Wadau salam, Ninafuga kuku wa kienyeji, nimewalisha vizuri na wametaga kwa muda sasa. Kila walipotaga niliondoa mayai. Nilisafiri wakawa wanaokota mayai vijana, niliporudi nilikuta kuku 49...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Maana ya Passive Income: Passive income ni kipato kinachopatikana bila kufanya kazi kila siku. Mara tu unapowekeza muda, pesa, au jitihada za awali, kipato kinaendelea kuingia bila ya kujihusisha...
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamvi habari. Naomba msaada wa mawasiliano ya Afisa masoko wa kiwanda cha mabati cha Kiboko. Lengo langu ni kwenda kununua bati mwezi huu. Thanks in advance 🙏🙏🙏
0 Reactions
0 Replies
531 Views
crdb bank kweli watatoboa soko la Dubai au ndoo itakuwa kama chato maana operational cost za Dubai ni kubwa sana na kingine Wana ubunifu mzuri kuingia sokoni .
3 Reactions
9 Replies
539 Views
Habari wakuu, Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Need a ride? We’ve got you covered! From sleek sedans to rugged SUVs, Rhond's company limited offers top-quality rentals at unbeatable prices. ✨ Why choose us? ✅ Flexible rental options ✅...
0 Reactions
3 Replies
677 Views
Wakuu poleni na majukumu najua mnaendelea vizuri naomba kujua mara nyingi tumekuwa tukiona mtandaon umeme unazalishwa kwa motor zikiwa kwenye mzunguko na dynamo mara nyingi nimejaribu kufanya...
5 Reactions
33 Replies
1K Views
Natamani kufanya biashara kwa kianzio cha laki mbili na nusu he biashara gani nifanye
0 Reactions
1 Replies
640 Views
Habari Wana JF. Thread hii inahusu KARIAKOO Naomba nianze Kwa kutoa shukurani zangu za dhati Kwa Wana JF wote mlio niamini na mkafanya kazi na Mimi shukurani Sana. { ingawa wengi mkija...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda...
0 Reactions
0 Replies
392 Views
WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Wadau naomba msaada namna bora ya kuanza biashara hii, nianze na bidhaa gani maana simu na assessories ndo ndoto kubwa, Ombi langu kwa wazoefu ,ni kupata taarifa kuhusu bidhaa ipi itapush ndoto...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu kwema, nipo kwenye kisenta flani hivi kimechangamka na hakuna gym. Naomba kujua mwenye ABC za gym hasara na faida zake, NB zisiwe zile too clasic Asanteni
2 Reactions
6 Replies
873 Views
Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa. Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi? Naomba mwenye abc za uhalali...
6 Reactions
41 Replies
2K Views
VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina...
2 Reactions
2 Replies
480 Views
napenda fahamu kweli changamoto zilikuwepo au mwandishi katoa taarifa sio sahihi
0 Reactions
0 Replies
336 Views
Back
Top Bottom