Kwa akili zangu Leo naamua Kujiunga na kalynda

Hakuna pesa rahisi.

Ila nature kitu cha ajabu sana...nyumbu wakivuka mto, akiingia mmoja tu basi lundo watatumbukia hata kama wanaona wengine wakiliwa na mamba.
Yote haya ni ili mamba nao waishi.
Kila la kheri.
Mku hulazimishwi
 
Nilijiunga baada ya kuona masela wawili wametoa pesa, mmoja alianza na laki 1 baada ya wiki 3 akatoa ishafika 220,000 ila pesa inachelewa kufika ni ndani ya masaa 48 afu wanamakato makubwa wakati wa kutoa.

Mimi nilianza na 20K, kesho nafikisha 40K.
 
Back
Top Bottom