Kwa kweli sina uzoefu wowote kuhusu jinsi ya kuandika andiko la mradi. Kwa sasa ninahitajika kuandika, lakini sijui nianzie wapi wala niishie wapi. Hivyo basi, kama kuna yeyote hapa ambaye ana...
Unapoteza Pesa na Muda Bila Kujua? Huu Ndio Suluhisho!
Katika dunia ya kisasa ya kidigitali, biashara na taasisi nyingi bado zinatumia mbinu za zamani za mawasiliano na uhifadhi wa taarifa. Barua...
Naomba kusaidiwa jinsi ya kuingia hazina portal nmejiresta ila baada ya hapo kila nkitaka kuingia inagoma inanambia access denied na wananambia invalid login nkijarbu nkuforgot password ili nianze...
Una duka la kuuza nguo na viatu?
Fanya hivi ili kupata wateja wa online au walioko mbali na duka lako!
Chukulia duka ni kama ofisi ya kukusanyia mizigo yako na watu kuja kuchukua nguo...
Hello bosses and roses...
Nina kampuni ambayo inajihusisha na Teknolojia ina mwaka wa pili sasa.
Kuna project tunataka kuifanya lakini inahitaji kiwago kikubwa cha uwekezaji ambao unaweza...
Katika kujikinga na kujilinda na uchafuzi wa mazingira, kampuni ya Zanrec recycling company tunayo furaha kuwajulisha kua tunatengeneza na kuuza mbao na nguzo za plastiki, mbao hizi ni ngum na...
Eneo lipo Kinyerezi mwisho mkabara na IKUPA SUPERMARKET Stendi ya zamani ni hatua kumi za miguu kuikuta Barabara kuu ya kutoka Mbezi kwenda mjini, pia eneo lina banda lenye kabati mbili zenye...
Miaka ya hivi karibuni wanawake wamekuja juu sana kwenye Biashara nimeshangaa mpaka ilala madada wanauza Autoparts ni jambo jema sababu wanatafuta namna ya kuchangia kwenye familia na kujiwezesha...
Kwema Wakuu!
Nimemsikia ndugu yangu ngara23 akilalamika mwezi mzima wa Tisa, na sasa tumeingia mwezi wa Kumi bado anaendelea kulia.
Kariakoo mawinga kabla mteja hajafika tayari wanakuwa na bei...
Habari wapendwa, watanzania wenzangu
Naomba Leo kuja kwenye jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali nikiwa na mada inayohusiana na faida za uagizaji wa magari Toka nje ya nchi...
Wadau naomba mawazo,,ni shughuli Gani naweza kuwekeza 20 million ikawa inanipa faida ya 2million kwa hapa Dar au kwingineko? Ushauri ndugu kwa usoefu wenu
Habari wana JF...
tujifunze utengeneza wa mafuta ya mgando.
MALIGHAFI
1.MICRO WAX
2.WHITE OIL
3.RANGI
4.PERFUME
5.VIFUNGASHIO
JINSI YA KUTENGENEZA
Weka MICRO WAX kilo 1 kwenye sufuria...
Poleni na majukumu wapendwa.Mimi ni mwanafunzi kwa sasa nipo Sweden nafanya kadegree ka Engineering Survey,Ndoto yangu ni kwamba baada ya shule nirudi nyumbani na lengo ni kujiajiri.Natamani sana...