Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi wasalaam! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu! Ninaoomba mwenye ufahamu wa kutosha juu ya hii aina ya uwekezaji anipe ufahamu kuhusu hii aina ya uwekezaji ili na mie...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Namhitaji mjuzi wa kutayarisha tenda,awe ni mtaalamu wa mambo ya manunuzi,kwa yoyote mwenye sifa hizo tafadhali naomba tuwasiliane ani PM,au kama kuna mtu anamfahamu mwenye hizo sifa tafadhali pia...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Jamani nahitaji kujua bei ya waterpump aina zote mbili ya mguu na ile ya mkono ni sh.ngapi? na uwezo wa kuvuta maji inaweza kuvuta toka umbali gani? na ikiwa nina kisima cha maji chenye urefu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nimejaribu kutafuta contact za Fair Competition Commission (FCC) ili niweze kuishitaki kampuni ya Star Media Ltd maarufu kama Star Times kwa kutangaza bei ya bidhaa ambayo ni tofauti na ile...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ajira zina matatizo kibao. Watalaam naomba ushauri nianzishe biashara gani kwa sh.mil.1? Nipo Dar.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Eb niambien wana-Apolo, maisha yamekuwa ngumu kama kifuu ya nazi, ukitaka kufanikiwa lazima Upasue kwa nguvu na Akili. So what? Retail Busines Idea Anzisha duka la chakula kama min...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Lack of trust among businessmen could be the main reason behind the failure of ventures to expand, unable to compete with incoming foreigners and scooping all business and contracts as locals...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Amani kwenu wanajamvi! Nimekuwa nikitafakari muda mrefu kuhusu matumizi ya picha za wanyama katika fedha (noti) zetu Tanzania, na sijapata jibu hadi sasa. Nimeangalia katika noti za nchi kadhaa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu. Kwasasa ninajishughulisha na mradi wa kutengewneza sabuni za miche za kufulia. Kwa sasa niko ktk process ya kutafuta soko. Je, nipite duka moja moja kuwauzia au niwauzie wenye maduka...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Taasisi isiyokuwa ya kiserikali ya Tuwafikie Tanzania, inapenda kuwakaribisha wakazi wa Mwanza katika mafunzo maalumu ya ujasiriamali yatakayofanyika kuanzia tarehe 16 disemba. Mafunzo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
BBC News - WTO agrees global trade deal worth $1tn
0 Reactions
1 Replies
907 Views
Tanzania hii ufisadi unazidi kila kukicha,sipo hapa kupinga watu kulipa kodi,lahasha.bali jinsi mambo yanavyokwenda.mashine hizo hizo,kuna walionunua 2200000",1200000".mwaka huu wanauza 800000...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Wadau JF habari zenu.? Napenda kutangaza kuwa kutakuwa na safari ya kupanda mlima Kilimanjaro kuanzia tarehe 22 Desemba hadi 28 Desemba 2013,kupitia njia ya Machame (siku 7) hivyo kwa mtu yeyote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda wadau? Nina rafiki yangu ni muajiriwa serekalini. Kapewa 10m na babake ili ajiimarishe kiuchumi. Hajajua mpaka sasa afanye nini kwani kapewa kwa masharti kuwa afanyi biashara au...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Kwa wale wanaosoma/watakaosoma first degree au masters au PhD in Business administration/finance/marketing/accounting niauza kitabu cha research kwa bei poa ya 40,000/=...
0 Reactions
2 Replies
959 Views
Wakuu salamu zenu! Mimi ni mteja wa siku nyingi CRDB natumia internet kukagua transaction za biashara zangu, mara kadhaa unaweza kuta transaction moja kwenye mtandao (online) labda...
0 Reactions
0 Replies
994 Views
kutokana na ripoti iliyotolewa na PricewaterhouseCoopers (PWC) hivi karibuni, waajiriwa chini Tanzania wanakatwa kodi kubwa sana ukilinganisha na nchi zote zilizomo kwenye EAC. kama hilo...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WAKAZI WA MWANZA Napenda kuwafahamisha kwamba CPM Business Consultants, yenye makao makuu jijini Dar es salaam, ikishirikiana na Tuwafikie Tanzania tawi la Mwanza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imekiri kiwango cha kodi ambacho imekuwa ikitoza kwa wafanyakazi ni kikubwa kuliko nchi zingine Afrika mashariki na hivyo imeanza kufanya mpango wa kubadilisha viwango hivyo ili viweze...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…