Swali kwa crdb bank - tofauti ya bank statements zenu


S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2012
Messages
688
Likes
350
Points
80
S

Silicon Valley

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2012
688 350 80
Wakuu salamu zenu ! ! ! mimi ni mteja wa siku nyingi CRDB natumia internet kukagua transaction za biashara zangu, mara kadhaa unaweza kuta transaction moja kwenye mtandao (online) labda umelipwa cheque haionekani kabisa hata siku zaidi ya 10, lakini ukienda bank kuwauliza eti wao wanaiona, pili kuna baadhi ya transaction labda bank charges / commissions kwenye mtandao hazipo kabisa wao Bank waki print bank statement zinaonekana,

Swali ni kwa nini ? na kama ni tatizo la ki ufundi mbona halishughulikiwi na kutoa taarifa kwa wateja ?
au tukujisawau TUNAKATWA ? ?
 

Forum statistics

Threads 1,252,213
Members 482,048
Posts 29,800,671