FoodStore Shop idea

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
737
500
Eb niambien wana-Apolo, maisha yamekuwa ngumu kama kifuu ya nazi, ukitaka kufanikiwa lazima Upasue kwa nguvu na Akili.

So what?

Retail Busines Idea

Anzisha duka la chakula kama min supermarket iv but ni duka la kawaida but with the lowest price offer apa mujini arusha kwenye eneo la kipato cha kati. Tumia mtaji wa kati kama mil6 had 10 iv, mpango mzima ni kuhakikisha mtaji unazunguka haraka. hakuna store, Faida ya kwa mwezi ya sh laki5 had 8 inatosha
Usisahau kuuza makande kio 1 ni kama sh elf na mia2 iv, weka kibao kibisa, ndio dil asa iv town wapare wamejaa
vitu vya kupima weka kwa pakit na vipimo viwe sahihi - trust

Hakikisha unaweka muuzaji -salesperson- sio waiter

Mtaji tafuta kwa ndugu jamaa na marafik
au sakos
au uza vitu vyako vya thaman
au kopa benk
au kopa micro finance ila uko ni gali sana
au kopa kwa ndgu jamaa na marafiki ingiwa nayo ni gali
Think about it,
It can b done


-AnkoJei -
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom