Consolata2000
Member
- Apr 13, 2013
- 40
- 4
Habari zenu. Kwasasa ninajishughulisha na mradi wa kutengewneza sabuni za miche za kufulia. Kwa sasa niko ktk process ya kutafuta soko. Je, nipite duka moja moja kuwauzia au niwauzie wenye maduka ya jumla? wenye uzoefu watusaidie tafadhali..