Asante sana kwa ushauriUngeweka picha ungepunguza maswali....anyway au basi.
Nina changamoto kubwa sana ,Kuna pesa ninayo nauza Ili niongezee.kikufaacho chakoKwanini unauza?
Utaratibu si inatakiwa uipeleke Selcom? au unataka kuwapiga wasiojielewa?Nina changamoto kubwa sana ,Kuna pesa ninayo nauza Ili niongezee.kikufaacho chako
Hapana,selcom tunaenda kubadili umiriki,Kuna form inajazwa ya pande zote mbili, mteja mpya atakuwa na Tin no ,leseni ,na amba ya NIDA.Utaratibu si inatakiwa uipeleke Selcom? au unataka kuwapiga wasiojielewa?
Ngombe wanazaliwa kila sikuHapana,selcom tunaenda kubadili umiriki,Kuna form inajazwa ya pande zote mbili, mteja mpya atakuwa na Tin no ,leseni ,na amba ya NIDA.
Kwa Dunia ya sasa utampiga nan
Nan atatumia Mashine Ina usajiri wangu ,lazima mfike ofisini mjaze form .Ili tariifa zisome za kwake mteja mpyaNgombe wanazaliwa kila siku