Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hujui Kama Biashara Yako Inakua au Inapoteza? Bizi Ina Suluhisho! 🔥 Habari mfanyabiashara! Umewahi kufikiria ni mauzo mangapi umeyafanya leo? Umeshawahi kusahau deni la mteja? Au bidhaa zimeisha...
1 Reactions
0 Replies
450 Views
Katika pita pita zangu kitaa nikaokota bangili yenye rangi ya gold/ dhahabu niliona kama bati tu ila roho ilisita kuitupa baada ya kuiona Ipo tofauti kidogo Mimi sina ujuzi wowote ule wa kujua...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
HOUSE FOR SALE: LOCATION: BAHARI BEACH SQM: 1,200 Nyumba Ina vyumba vinne PRICE: 450 Million negotiable. Hati ipo. Hii unfinished house ina Sitting room: 1 Modern windows, ✅ Kitchen...
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Habari.. Mimi ni mjasiriamali ninayeanza kujitafuta, naomba kama kuna namna naweza kufanya biashara kati ya Thailand na Tanzania. Nimejaribu kufatilia business platforms za Thailand nimeona zipo...
1 Reactions
0 Replies
279 Views
Niaje wakuu kwa wauzaji wa suruali za vitambaa kampuni ya boss na kampuni zingine tuonane pm kwa mawasiliano zaidi nashida na suruali hizo
2 Reactions
5 Replies
493 Views
Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT?? Na hili ndilo jibu lake. Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit. FAIDA FUND...
5 Reactions
74 Replies
6K Views
Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
8 Reactions
76 Replies
2K Views
Kwa ujumla, wilaya zenye mzunguko mzuri wa pesa Tanzania huwa ni zile zilizoko katika mikoa yenye shughuli nyingi za kiuchumi, biashara, viwanda, utalii, au kilimo chenye tija kubwa. Ingawa data...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Importer.Tradekey.com Hapa unauza au kununua vitu tofauti pamoja na matunda na juice kwa jumla. 2. Alibaba.com Hapa unaweza kuongea moja kwa moja na wenye viwanda vinavyozalisha vitu tofauti...
9 Reactions
9 Replies
4K Views
Habar wakuu msaada wenu kimawazo ,mim nimefanya biashara wa jumla vyakula na vinywaji Sasa Niko katika changamoto ya ushindani,hapa tupo masupply wa jumla kama wanne wa vyakula na vinywaji,Sasa...
5 Reactions
21 Replies
1K Views
Mlango umetumika kwa miezi minne tu Unafaa kwa matumizi ya frame Bei Tsh 200,000/= Location; Survey, Karibu na Ardhi university Mawasiliano; 0681249117
1 Reactions
1 Replies
245 Views
Utangulizi: Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton...
9 Reactions
39 Replies
3K Views
Nina mtaji wa sh laki nne je naweza fanya biashara gani kama ujasiriamali?
3 Reactions
106 Replies
56K Views
Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au...
2 Reactions
1 Replies
356 Views
🧊 Friji zuri - Tsh 120,000 🔥 Mtungi wa gesi (full) + jiko lake - Tsh 120,000 Viko katika hali nzuri kabisa. 📞 Wasiliana nami kwa maelezo zaidi: 0685063688 📍 Mahali: [Tegeta] Karibuni wana.
1 Reactions
3 Replies
585 Views
Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii. SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao (...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa Size kuanzia 32 mpaka 43 Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so...
34 Reactions
442 Replies
27K Views
Habari. Shambani kwangu nina miti ya maembe 10 ambayo haizai Tena nimeamua kuikata. Kwa ambaye anafanya biashara ya kuuza kuni kwa wingi anakaribishwa kuja kununua miti hii. Iko miti 10 kila mti...
2 Reactions
11 Replies
757 Views
Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
1 Reactions
5 Replies
44K Views
Back
Top Bottom