Kupitia video yake ya youtube anasema jifunze kutumia “Njia Kuu Nne za Kukuza Biashara” mbinu zinazotumiwa na wafanyabiashara waliofanikiwa kote duniani. Tumia njia hizi leo na uanze kuona matokeo...
Wanajamvi, salaam. Mimi ni mdau mwenzenu kwa takribani miaka 12 sasa, naomba leo niwashirikishe jambo langu, nimekuwa na ndoto za kuwa Mwekezaji kwenye mali isiyohamishika (real estate).
Kwa...
Katika ulimwengu wa biashara, kuna mambo madogo sana yanayoonekana kama ya kawaida—lakini yakiwa hayajadhibitiwa, huwa kama saratani ya kimya kimya. Moja ya mambo haya ni mazoea ya kupitiliza na...
Ni nyumba za kisasa ( apartments) mpya kabisa.
Zipo magomeni mwembe chai. Zipo tatu
1. Self ina room mbili za kulala ( master) na inajitegemea
2. Self na zinajitegemea
Maji uhakika kabisa (...
Wakuu kwema nikiwa Kama kijana ninae jitafuta naombeni mwongozo ili niweze kusajili jina la biashara.
Nina mpango wa kufungua huduma za kifedha japo mtaji Bado sjafanikiwa kupata.
Nina leseni...
We’re so excited to share this moment with you! ❤️✈️
Air Tanzania will start to fly direct from Dar es Salaam 🇹🇿 to Lagos 🇳🇬from 15th August, 2025. To us, this is more than just a flight route...
Kiburi cha mafanikio ni adui wa maendeleo ya muda mrefu. Ukishindwa, shuka. Jifunze. Jenga tena. Kwa unyenyekevu.
Wafanyabiashara wengi mitaji ikishuka wanataka kukopa kwasababu wanataka wawe na...
Alizaliwa kwenye familia ambayo haikuamini katika mazungumzo, haikuamini katika kuelewana, haikuamini katika maoni mbadala. Bali heshima ni utii usiohoji, na upendo ni zawadi inayotolewa tu kwa...
Watu wengi wana ndoto ya kuwa na kampuni yao, lakini wachache hufanikisha hilo. Sababu kuu ni kukosa maarifa sahihi kuhusu taratibu za kisheria, gharama zinazohusika, na majukumu yanayoambatana na...
HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA VETA AMBAZO UKISOMA UNAWEZA KUZIBADILISHA KUWA WAZO LA BIASHARA
Unapojifunza moja ya kozi hizi kutoka VETA, hupati tu ujuzi wa ajira – unapata nafasi ya kuanzisha...
Habari wana JF.
Believe me unaweza kuanza kufanya biashara Kariakoo Kwa mtaji wakawaida kabisa sio mpaka uwe na mtaji wa milioni 20, au 50 nooo.
Hapa kariakoo zipo fremu za Bei ya kawaida kabisa...
Wakati wateja wengi zaidi wako sokoni siku ya Jumamosi, maduka ya wasabato yamefungwa. Wateja wanaenda kutafuta bidhaa na huduma, wao wameenda kupumzika, Wateja hutafuta maduka mengine, wateja wao...
......................Ni sawa na kusema kua Mjasiriamali Hata Ukiwa Mfanyakazi.
Ujasiriamali si jina la kampuni, si cheo au mtaji mkubwa unaoonekana kwa macho. Ujasiriamali ni mtazamo wa moyo, ni...
Kutengeneza sausage ya nguruwe nyumbani ni rahisi ukiwa na viungo sahihi. Hii hapa ni njia rahisi:
Viungo:
1 kg ya nyama ya nguruwe (mafuta na nyama, iliyo sagwa)
1 kijiko cha chai chumvi
1...
kuna jambo moja linaweza kukuinua na kukutofautisha kwa haraka sokoni, LOGO ya biashara yako. Hii si tu picha ya kupendezesha bidhaa zako, bali ni silaha muhimu ya utambulisho, uaminifu, na kinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.